Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Supermarket zipo kibao mbweni na bunju, au ww umeaminishwa sehemu kwenye mall ndio maendeleo 😁😁😁😁

mall Inajengwa kunduchi tena kubwa Sana ya kisasa na na karibu na bunju au mbweni ww ulikua unatakaje
Asanti sana kwa kukubali Mbweni na Bunju hakuna mall hata moja. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Asanti sana kwa kukubali Mbweni na Bunju hakuna mall hata moja. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Ww ni chizi wa Aina yake hii ni moja ya supermarket kubwa Sana mbweni ila hatuwez ita mall ila kwenu ingekua mallπŸ˜…πŸ˜… washamba nyinyi mbweni kuna maduka ya kila Aina supermarket za kila aina


Na narudia kukwambia mbweni ni kubwa sawa na upperhill + CBD combined πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Tuonyeshe picha ya any mall in bunju or mbweni?
 
Unatuonyesha zile mini supermarkets kwa petrol station. Huna hata aibu. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

 
Mbweni na Bunju kwa middle class has no mall. Hao ni middle class bandia. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tuonyeshe mall za mbweni na bunju, mambo ya tarafa hatutaki kuskia.
Tunaenda hand to hand. Nakutaka usikimbie. This is battle siyo
Mbweni unataka ipambane na Ward gani hapo Nairobi?

Hizi hapa Kata za Wilaya ya Kinondoni.

  1. Bunju
  2. Hananasif
  3. Kawe
  4. Kigogo
  5. Kijitonyama
  6. Kinondoni
  7. Kunduchi
  8. Mabwepande
  9. Magomeni
  10. Makongo
  11. Makumbusho
  12. Mbezi Juu
  13. Mbweni
  14. Mikocheni
  15. Msasani
  16. Mwananyamala
  17. Mzimuni
  18. Ndugumbi
  19. Tandale
  20. Wazo
 
Tuonyeshe malls in Mbweni and Bunju wacha maneno mingi.
 
NAIROBI:
Westlands Constituency has the following wards:-
WardPopulationkm2
Kitisuru
31,202​
21.3​
Parklands/Highridge
38,344​
8.2​
Karura
26,453​
38.2​
Kangemi
45,564​
1.6​
Mountain View
36,126​
3.1​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…