Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nyumba za mbagala hizo Onesha kama kuna eneo huko naislum kibera, mathare, mukulu kayaba, kwa reuben, lina nyumba kama hiyo
Unajiaibisha maanake hiyo ni ishara ya lack of planning. Yani nyumba zinajengwa tu polite, katikati ya slum Kuna mansion. Ndio maana hadi mitaa yenu ya kifahari kama mbezi inakaa slums maanake hakuna zoning.
 
Asante kwa kukubali ni mansions built politely, case closed πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Umebadilisha mjadala Hadi umefika penye unapost nyumba tuprove kama ni mansion ama sii mansion? Wabongolala ni wajinga.🀣🀣
 
Hvi Kati ya Sisi na nyinyi Nani mwenye mikakati madhubuti ya umeme?? Sisi tunajengwa bwawa la umeme kubwa east and central Africa na mwaka huu linaanza kazi haya tueleze nyinyi muna mikakati gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…