Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tazama kwa makini picha nilioquote kwa reply. ni ya estate wala si ya bunge. najua jengo la bunge ya Tanzania inavyofanana. ukisha confirm uniambie
OK, nadhani nimeconfuse na mradi wa NHC - Iyumbu housing Dodoma,
Let's forget about that,
Na umeonaje hizo mambo nyingine za Dodoma,?
 
OK, nadhani nimeconfuse na mradi wa NHC - Iyumbu housing Dodoma,
Let's forget about that,
Na umeonaje hizo mambo nyingine za Dodoma,?

Napenda watu kama wewe ambao wanakubali kosa. Dodoma ni mji nzuri sana ila haina mvuto kama jiji kuu. kwangu binafsi ni mji wa kawaida sana japo naona inazidi kuinuka. nadhani Arusha panapendeza kulika Dodoma. maoni yangu hayo
 
Huwezi ona cha maana kwa sababu ujamaa imekufunika macho. Kwa mambo ya elimu hata hufai kulingalisha nchi yako na kenya. we are worlds apart when it comes to matters education. Ndo maana hakuna hata siku moja utaona mkenya akija Tanzania kusoma.
wanakuja watu kutoka ulaya kuja kusoma law na mambo mengine wewe unaongea nini??? na tatizo la wakenya wengi elimu hajawasaidia kutoka kwenye ujinga na ndio maana mwenzio nilimwambia unaeza kusoma na usielimike, tatizo lenu mlikariri sana kua ni ile tz ya 90s kumbe hamkujua nchi inajengwa kimya kimya ogopa sana nchi iliotokea kwenye ujamaaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
wewe huna elimu ya kunifundisha mimi kwanza hilo ulitambue, unaniletea link au uchafu πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Napenda watu kama wewe ambao wanakubali kosa. Dodoma ni mji nzuri sana ila haina mvuto kama jiji kuu. kwangu binafsi ni mji wa kawaida sana japo naona inazidi kuinuka. nadhani Arusha panapendeza kulika Dodoma. maoni yangu hayo
na unatakiwa uelewe dodoma ndio inajengeka sasa hvi kwasababu serekali yote imeshaanza kuhamia dodoma na sasa ikulu inajengwa dodoma na dar itabaki kama mji wa kibishara afrika mashariki
 
huyo usimlaumu hana tofaut na mwenzie collo mzee akili zao ni za baba mmojaπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Dodoma ..Iyumbu Housing Project

Alaf hawajui kama dodoma inajengwa kimya kimya yani hawajui kama international airport na ikulu ya tanzania inajengwa dodoma, hawajui hata international stadium and the second biggest in africa inajengwa dodoma itakua na uwezo wakuchukua watu elfu 90
 
Wajinga wanaingia kwenye mitandao wanagugo picha za miaka ya 1990 kujifariji.
 
Alaf hawajui kama dodoma inajengwa kimya kimya yani hawajui kama international airport na ikulu ya tanzania inajengwa dodoma, hawajui hata international stadium and the second biggest in africa inajengwa dodoma itakua na uwezo wakuchukua watu elfu 90
render poa lakini actual nyumba zimechakaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…