Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Sasa huu ndio ushahid wako kwamba nyie mnazalisha ngano.? 🤣🤣🤣🤣 Mpumbavu sana wewe, kichwa cha hiyo graph yako kinazungumza "Africa's wheat import dependency from Russia or Ukraine" kwahyo hiyo graph inaeleza kwamba nyie mnatuzidi kwa kufanya import not otherwise wise, hiyo maneno ya kusema mnatuzidi uzailishaji umetoa wapi.? 🤣🤣🤣 We unadhani sisi tunategemea kupata ngano kutoka ulaya tu.? Sisi tunalima ngano kichaa wewe. Kuhusu habari za kilimo labda mnatuzidi kwenye maua tu (kwa hisani ya Mzungu) 🤣🤣Kenya produces and consumes more wheat that Tangagiza.
TPDF ipo congo inatoa mkong'oto kwa upande wa SADC na inalinda amani upande wa Monusco,ipo jamhuri ya kati,darfur,lebanon UN peacekeeper na huku nyumbani mipaka iko salama kabisa,wauza mkaa wa kdf wapo hapo hapo kwa mama ngina wakijipiga selfie na bado wanasumbuliwa na bandits na al shababHawa jamaa huwa wanatudanganya humu kuwa hii barabara imekamilika kumbe uongo. Nchi gani inayoshindwa ku provide security kwa watu wake.
Al-Shabaab ghosts haunt Sh17.9bn Lapsset project
The al-Shabaab attacks have left construction equipment worth over Sh200 million destroyed.mobile.nation.co.ke
😅 Kwasababu ya kutaka majibu?Huyu anatafuta deportation!
We jamaa usitudanganye.Ukupata any data that shows Tangagiza produces more wheat than Kenya, nitag nitafunga hii account sahii.
Ile data yenyewe alioleta ni ya MATAIFA YANAYOAGIZA NGANO KWA WINGI SIO KUZALISHA.Jibu swali hiyo ndiyo proof kwamba kenya mnazalisha ngano nyingi? 🤣 🤣 🤣
View: https://youtu.be/PkqLXLwBsKk?si=nKnCAgYDQtQmJZ3p
Fungua link usome mbona kuna black out.. 😁 😁 😁
TPDF ipo congo inatoa mkong'oto kwa upande wa SADC na inalinda amani upande wa Monusco,ipo jamhuri ya kati,darfur,lebanon UN peacekeeper na huku nyumbani mipaka iko salama kabisa,wauza mkaa wa kdf wapo hapo hapo kwa mama ngina wakijipiga selfie na bado wanasumbuliwa na bandits na al shabab
Jamaa hapo imemkuna lamamayee mpaka anafananisha NEMBO YA TRC NA BENDERA YA UINGEREZA.
Mkenya akiongea maneno 1000 usiamini hata 1We jamaa usitudanganye.
HIYO CHART ULIOLETA INAELEZEA UAGIZAJI WA NGANO SIO UZALISHAJI WA NGANO.
TANZANIA TUNALIMA NGANO PIA KASKAZINI NA PIA TUNAAGIZA ILA HATUAGIZI KWA WINGI KWASABABU TUNAZALISHA PIA.
NINYI MNAAGIZA KWA WINGI HAMZALISHI
Kipindi kile meli zilikua zinakwepa pwani ya msa na somalia,so wakata waanze mazoea ya kuzifuata meli pwani yetu,walipewa mkong'oto na kutoswa majini wakifa huku wakijiona,kuna vishirika vya haki ya binadamu vikataka kianza kuongea ongea vikapuuziwa kwa huko na wale mbwa ikawa ndio mwanzo na mwisho kusogelea pwani yetu,kule goma m23 wanakuambia hawajawahi kuona mtu mkatili kama lt col ayub wanakuambia 2007 vijana wa kitutsi walikufa huku wakijiona chini ya operesheni yake,now lt col ayub yupo goma na slogan yake kunguru apigweYani alshabaab wangejichanganya kutia maguu Tz wasingeacha ona rangi wasizozijua.
Nakumbuka 2007 walijaribu kuteka meli iendayo Pemba askari 7 wa TPDF waliwachachafya mpaka wakatumbukia kwa maji wakaacha kiboti chao kikiwa na RPG 4 na munitions za SMG.
Huwenda katika kupiga mbizi walishaliwa na papa.
This food is 50 bob kama sijakosea. Mnakula vitu cheap sana.Mtura mbona moshi tuna kula siku nyingi tuView attachment 2907603
Ndio nani huyu col.Ayub mkuu embu nipe nyama nyama.Kipindi kile meli zilikua zinakwepa pwani ya msa na somalia,so wakata waanze mazoea ya kuzifuata meli pwani yetu,walipewa mkong'oto na kutoswa majini wakifa huku wakijiona,kuna vishirika vya haki ya binadamu vikataka kianza kuongea ongea vikapuuziwa kwa huko na wale mbwa ikawa ndio mwanzo na mwisho kusogelea pwani yetu,kule goma m23 wanakuambia hawajawahi kuona mtu mkatili kama lt col ayub wanakuambia 2007 vijana wa kitutsi walikufa huku wakijiona chini ya operesheni yake,now lt col ayub yupo goma na slogan yake kunguru apigwe
Hizi ndio huwa mnangoja. Kujengewa na organization ama government. Mtanzania wa kawaida amesota hata kujenga gorofa ya 4floors ni shida.
Ndio nani huyu col.Ayub mkuu embu nipe nyama nyama.
hawana pesa hao......Ukitoa Mali ya Mo Dewji na Bakhresa GDP yao inachezea 30 hapoHizi ndio huwa mnangoja. Kujengewa na organization ama government. Mtanzania wa kawaida amesota hata kujenga gorofa ya 4floors ni shida.