Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Msije kusema hamjaona,hii ni kazi ya Tarura Mbeya 👇👇

View: https://www.instagram.com/p/C3cdciPNpQR/?igsh=MXZwNTBtMm9qNmVhYw==
1314755558.jpg
662636786.jpg
1343627522.jpg
1369792001.jpg
1223005987.jpg

Rural Tanzania 🔥🔥🔥
 
Who is Numbeo?
Super market zenu hizo.
Kilo moja ya sembe kwenu 75ksh sawa na 1300Tsh sie unga twanunua mpaka 1000tzsh kwa kilo.
 
Attachments

  • Screenshot_2024-02-17-13-18-01-68_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    Screenshot_2024-02-17-13-18-01-68_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
    109.6 KB · Views: 7
Super market zenu hizo.
Kilo moja ya sembe kwenu 75ksh sawa na 1300Tsh sie unga twanunua mpaka 1000tzsh kwa kilo.
USA watu wananunua unga ya ng'ano pesa ngapi kwa kilo? Na Tanzania je?
 
uko turkana unashindana chakula ma mtanzania sisi hatuna ukame na mungu katujalia hilo.
Ndio mie nawashangaa hawa jamaa.
Ukizungumza nao wanasema oooh we do not have enough arable land.
Wenzao Egypt wameanzisha kilimo cha kisasa cha JANGWANI.
Asa jiulize Kenya na Egypt wapi kuna jangwa kubwa??
Tusiende mbali Dodoma ilikua ni arid land kama Turkana sasa hivi Dodoma inaanza kuwa ya kijani.
Asa najiuliza nchi gani inayojinasibu imeendelea ikashindwa ku recruit alternate technology kupambana na njaa???
 
USA watu wananunua unga ya ng'ano pesa ngapi kwa kilo? Na Tanzania je?
1 kg ya ngano USA ni 1.35$.
Tanzania 1 kg ya ngano 1700 tsh HBF, 1900tsh PPF na 1500tsh unga wa ngano wa kawaida.
Ukitaka ushahidi pia nakuletea.
1$=2440 Tsh
 
Ndio mie nawashangaa hawa jamaa.
Ukizungumza nao wanasema oooh we do not have enough arable land.
Wenzao Egypt wameanzisha kilimo cha kisasa cha JANGWANI.
Asa jiulize Kenya na Egypt wapi kuna jangwa kubwa??
Tusiende mbali Dodoma ilikua ni arid land kama Turkana sasa hivi Dodoma inaanza kuwa ya kijani.
Asa najiuliza nchi gani inayojinasibu imeendelea ikashindwa ku recruit alternate technology kupambana na njaa???
Usiwe unasikiliza excuses za ma lazy wa kibera.

Takwimu za FAO ni kwamba 49% ya Kenya is arable land whichi is over 27,500 Milion hactares of Land.

Hayo ni mavivu ndio maana Yana njaa,kazi kusifia kingereza na Wazungu
 
Visingizio vyao hazina mantiki.
Hata kama wangekua na 20% arable land wanashindwaje kufanya LAND RECLAMATION??
Kuna article nitaileta ya mji mmoja wa China uliokua jangwa kugeuzwa kuwa mashamba ya zabibu .
 
Ardhi yenye maji chini ipo hakuna haja ya Land Reclamation.
 
Ndio mie nawashangaa hawa jamaa.
Ukizungumza nao wanasema oooh we do not have enough arable land.
Wenzao Egypt wameanzisha kilimo cha kisasa cha JANGWANI.
Asa jiulize Kenya na Egypt wapi kuna jangwa kubwa??
Tusiende mbali Dodoma ilikua ni arid land kama Turkana sasa hivi Dodoma inaanza kuwa ya kijani.
Asa najiuliza nchi gani inayojinasibu imeendelea ikashindwa ku recruit alternate technology kupambana na njaa???
hawakujifunza kwa gadafi hawawezi kujifunza tena hawa majidai ndio yanawaaribu.
 
Back
Top Bottom