Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Shukraan kakangu!Inaweza kuwa viazi vya ku kaanga kwa ulaya vilipendwa ufaransa lakini siyo kweli watu wa mabara mengine hawakuwa wanakaanga viazi. French kiss, fries na braids siyo kwamba vilianzia Ufaransa, hata watanzania tuna tatu kichwa lakini hazijulikani kama Tanzania braids.