Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kuna ajabu gani hapa??
Tz hakuna gari inayokosekana katika hizo gari ulizoonesha.
 
Leo nimecheka sana. Ati Kisumu boys ni Chakula ya maana Tanzania🤣🤣🤣🤣🤣
Neo-Slavery Kwenye nchi za Kiarabu. Wakenya 350,000 kwenda kufua Boxers na Kanzu za waarabu 🤣 🤣 🤣 🤣

Ruto revealed that his trip to Saudi Arabia will see more than 350,000 Kenyans secure job opportunities.

Pole sana. Nyinyi Kenya ndio your Europe and what your people come to do here is just street begging😂😂
 
Lazima mkubali ukweli bwana. Hakuna vile mnaezakwamilia Chakula cha wafaransa ati ni yenu😂😂😂🤣
Basi hata mutura sio yenu kama Ndo hivo
"Kisumu boys" ni Chakula ya bachelors huku Kenya😂😂🤣. Utapata bachelor anaikula 3 days a week, the remaining 4 days ni either Mayai ama nyama.
Basi tumalize ubishi tupe mfano wa chakula cha kawaida mtu wa mjengo kenya atakula kama mimi nilivyo fanya
 
mamako ndio alipeleka 300k ......but even so we still export the highest skilled force to other African countries and all over the world. Most teachers and farmers in Botswana and Namibia are Kenyans.Most farmers in Arusha region are also Kenyans.....we just use proxies. Most academic writers in Africa are also Kenyans....we are jack of all trades
Whatever man,
Ile siku wazungu and Chinese and Japanese will come to Africa seeking for jobs ndio huyo mpumbavu aliyesema brain circulation will make some sense, but as for now the Idea is ‘run away from poor home to whatever.. Nikwambie tu taifa kama Namibia you mentioned here is very much developed compared to your poor Kenya ndio maana utaona mnazamia kutafuta chochote kitu. Tunakamataga trucks full of poor Ethiopians wanazamia South Africa , because Ethiopia is extremely poor. and so is Kenya.
Kwenye hiyo list lazima your peers Nigeria watakuwepo. Countries with nothing at home.
And guess what, I am right . There are 300k Kenyan housemaids in Qatar alone. achilia mbali UAE, Saudi Arabia, Jordan hadi Iran mnaenda mbwa nyie. Hamuachi hela hadi mnajikuta mnanyonyesha watoto wa mbwa huko.
And I am also right sababu Ruto is exporting you in big numbers to whatever nation from Thailand to Bangladesh mkafanye kazi kwenye mashamba ya mpunga mtumie vihela Kunya sababu there are no opportunities, neither jobs in Kunya . and he is doing this with all his might. Mpaka mbaki milioni mbili msimsumbue kwa maandamano ya unga.
 
nyinyi mmejifungia katika ufukara ati kwa sababu ya aibu......bakini huko ukiswahilini mkijiliwaza ati mko sawa.Hata mtanzania mwenzenu juzi was begging you guys to play the DV lottery lakini wapi
 
Kisumu boys
Ugali nyama
Githeri
Aisee kuwa mkweli mtu analipwa 300ksh kila siku ale ugali nyama? Hata ugali dagaa/ kisumu boys ni 150 to 170ksh inategemea kama ni fry au ya mchuzi and also nyama pia so it’s not possible and then akisema ananue nyama wakale wote home its impossible kulingana na pay yake kwa githeri sawa maana its abit cheap hata akinunua ya mia achanganye na viazi will be a full meal for the whole family.
Meanwhile in Tanzania the same amount utakula ugali nyama,mchicha na ni chakula cha kutosha tu ukisema upige chapati 2 maarage chai na mchicha for the same amount that is the difference.
 
Back
Top Bottom