Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Asante kwa Wikipedia. Hata Mimi pia naezaandika ati KFC was founded in Dodoma in 2009🤣🤣😂🤣
Imepenya hiyoo.
Kila unapo search lazima wakuandikie "Tanzanian staple junk food".
Mbona hawaandiki tofauti?
 
😃😃😃😄😃😃😃ukipiga hiyo kitu unameza vidonge saba vya flagyl 😄😄😄😄
Yanini kumeza mi metronidazole ilhali kuna vyakula bora na vitamu vya kula??
 
Chips is not a Tanzanian food. Chips or French Fries Omelette as known in Europe is not a Tanzanian originated food.

Hakuna food Tanzania inajulikana nayo.
🤣 🤣 🤣 🤣 Chuki inakusumbua mdogo wangu
Chips Mayai, also known as Zege, is a delicious and widely-loved Tanzanian street food.
Au akili zako zimeathiliwa na Shakira Mohamed?
 
Majirani wana tunisha vifua humu ndani ila View attachment 2903250ukweli bila unafik Tanzania tuna vyakula asikuambie mtu 😃😃😃😃na huyu ni mtaa sijui akina esha na shishi na yule wamawasilino mtumishi una mjua?😎😎😎View attachment 2903251View attachment 2903252View attachment 2903253
Hadi "Kisumu boys" siku hizi ni food ya maana?🤣🤣😂🤣.

Aki watanzania mna mambo. Mnaturingia "Kisumu boys"?🤣🤣🤣🤣
 
Asante kwa Wikipedia. Hata Mimi pia naezaandika ati KFC was founded in Dodoma in 2009🤣🤣😂🤣
Chips is not a Tanzanian food. Chips or French Fries Omelette as known in Europe is not a Tanzanian originated food.

Hakuna food Tanzania inajulikana nayo.
ayaa tajiri if the answer suits you kila la kheir
 
Hadi "Kisumu boys" siku hizi ni food ya maana?🤣🤣😂🤣.

Aki watanzania mna mambo. Mnaturingia "Kisumu boys"?🤣🤣🤣🤣
Hiko ni chakula cha kawaida kama unataka tukuletee vyakula vya maanaa vya kitanzania sema.
Ila usikimbie tu humu ndani.
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Chuki inakusumbua mdogo wangu
Chips Mayai, also known as Zege, is a delicious and widely-loved Tanzanian street food.
Au akili zako zimeathiliwa na Shakira Mohamed?
Acha kuforce mambo jobless idiot.
Screenshot_20240213-203954_1.jpg
 
Hadi "Kisumu boys" siku hizi ni food ya maana?🤣🤣😂🤣.

Aki watanzania mna mambo. Mnaturingia "Kisumu boys"?🤣🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Neo-Slavery

Govt Sends First 500 Kenyans to Work in 5 Countries​

CS Bore flagged off over 500 migrant workers to various countries, including Saudi Arabia, Oman, Germany, Qatar, and Dubai.
1707849215687.png

Hadi "Kisumu boys" siku hizi ni food ya maana?🤣🤣😂🤣.

Aki watanzania mna mambo. Mnaturingia "Kisumu boys"?🤣🤣🤣🤣
Hicho ni chakula cha kawaida cha mwana nchi wa kipato cha chini tanzania! kama umesoma nilivyo andika!
Mkenya wa kawaida ana weza ku afford hicho chakula?
 
🤣 🤣 🤣 🤣 Chuki inakusumbua mdogo wangu
Chips Mayai, also known as Zege, is a delicious and widely-loved Tanzanian street food.
Au akili zako zimeathiliwa na Shakira Mohamed?
Aisee yani ni mtihani 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hicho ni chakula cha kawaida cha mwana nchi wa kipato cha chini tanzania! kama umesoma nilivyo andika!
Mkenya wa kawaida ana weza ku afford hicho chakula?
"Kisumu boys" ni Chakula ya bachelors huku Kenya😂😂🤣. Utapata bachelor anaikula 3 days a week, the remaining 4 days ni either Mayai ama nyama.
 
Acha kuforce mambo jobless idiot.
View attachment 2903261
Neo-Slavery at Work 🤣🤣🤣🤣 Kwenda kufua Boxers za Waarabu

NAIROBI, Kenya, Feb 4 – Labour Cabinet Secretary Florence Bore has flagged off 500 Kenyans who are set to leave for the Kingdom of Saudi Arabia and Qatar.

Leo nimecheka sana. Ati Kisumu boys ni Chakula ya maana Tanzania🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom