Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kumbe wewe ni kazee😂😂😂.

You don't have money kijana. Ungekuwa na Pesa hungefurahia kukula Chakula cha wafungwa.
Mimi sio kazee,

Huwezi kukuta nabishana with my fellow Tanzanians kuhusu kula kwasababu misosi huku ni ya kumwaga and everyone can afford, ila kwa mkunya lazima nikurungishie ili uumie kwasababu huna chakula and it's my duty to make you feel bad 😂😂😂😂😂. By the way, I was born in the city center Tanga, street number 3. Sifa yetu watu wa barabara za namba ni kula biriyani every Friday. 😂😂😂
 
Dodoma ni mji mkuu na ni mji unaokuwa. Kwann wasingeamua kujenga uwanja wa at least 60k capacity badala huu wa 30k?

Na dodoma, uwanja haujengwi sababu ya AFCON. Ulifikiriwa kujengwa hata kbla wazo la kuhost AFCON kuwepo
Nimefurah kusikia kuwa Dodoma haujengwi tena uwanja wa 30k seat capacity, wala haupo kwenye plan ya AFCON kwa sasa, wamestopisha, wanafikiria kujenga uwanja mkubwa zaid pale majaliwa yatakapotokea
 
Mimi sio kazee,

Huwezi kukuta nabishana with my fellow Tanzanians kuhusu kula kwasababu misosi huku ni ya kumwaga and everyone can afford, ila kwa mkunya lazima nikurungishie ili uumie kwasababu huna chakula and it's my duty to make you feel bad 😂😂😂😂😂. By the way, I was born in the city center Tanga, street number 3. Sifa yetu watu wa barabara za namba ni kula biriyani every Friday. 😂😂😂
29 yrs old anajiita mtoto. I think you get you brain checked.

As for food, why should you feel proud kwa kukula Chakula cha wafungwa huku Kenya? Alafu sahani enyewe hiyo Chakula ilipakuliwa ni 60 bob. Kitchen table ni 900 bob, that table top gas cooker ni 1,800 alafu na pepsy ya 30 bob.

In short your kitchen is worth less than 5000 Kenyan shillings. The wall of the house itself inaonyesha you are living in slums.
 
Hebu tupia tena picha ya Gari yako tucheke 🤣 🤣 🤣 🤣
 
29 yrs old anajiita mtoto. I think you get you brain checked.

As for food, why should you feel proud kwa kukula Chakula cha wafungwa huku Kenya? Alafu sahani enyewe hiyo Chakula ilipakuliwa ni 60 bob. Kitchen table ni 900 bob, that table top gas cooker ni 1,800 alafu na pepsy ya 30 bob.

In short your kitchen is worth less than 5000 Kenyan shillings. The wall of the house itself inaonyesha you are living in slums.
Wow.! As I told you it's my duty to make you feel bad 😂😂😂😂. Tafuta gofen upunguze maumivu mkuu.
 
Something beautiful is coming up in Konza😍
1707251984154.jpg
 
Back
Top Bottom