Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hao uliowa tag wanamuona Bumunda πŸ˜‚πŸ˜‚.

Kuna story nyingi tuu kwenye Uzi huu hazihusiani na heading eg mnapojadili mambo ya vita za Palestine vs Israel, Ukraine vs Russia ,mara mnabishan kuhusu Marekani na China etc.

Unazeeka vibaya.
 
Anaenda kwa papa Francis? Papa Benedict XVI na John Paul II walikuwa hawana tatizo na mtu, huyu anasema waafrika ni wanafiki kwa kutokuwakubali mashoga. Kazi ipo.
Kwa hiyo nyie RC mnasemaje? Nafasi nzuri hiyo Kwa Rais kielezea msimamo wa Tanzania na Africa Kwa masuala hayo.

Anaenda kuwasemea Hadi Wakunya kule 😁😁
 
Mwaka juzi 2021 ilikuwa Waanzishe Tawi la Ocean road Cancer Institute Mbeya na kwenye budget ya Wizara iliwekwa lakini imeyeyuka mazima.

Huyo labda analipa fadhila Kwa kuwa kule ukweni ambako ni kwao wanajenga Muhimbili nyingine πŸ€ͺπŸ€ͺ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…