Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wewe ni mpuuuzi ndio maana tunawwaambieni tembeeni acheni kujifungia kama mizigo kwenye buti sasa kama toko ukiwa mtoto unachungwa unafikiiri utajua nini.
At least umepeta point yangu. Wasukuma wanejazana huku Kenya kutafuta maisha na kufanya odd jobs. Alafu walafi wa kutupwa!😂😂
 
At least umepeta point yangu. Wasukuma wanejazana huku Kenya kutafuta maisha na kufanya odd jobs. Alafu walafi wa kutupwa!😂😂
we tafuta mwarabu wa kayenze ndio utajua namwongelea nani acha kuwa mvivu wa kutafuta siongelei mtu anaeishi kwenye apatment mzee we tafuta utajua
 
At least umepeta point yangu. Wasukuma wanejazana huku Kenya kutafuta maisha na kufanya odd jobs. Alafu walafi wa kutupwa!😂😂
zaidi ya wakenya marafiki zangu waliopo arusha wakishuka kwa mrombo kula nyama unaona wanavyochachawa kama nyama na vyakula vinaisha
 
See how you are a fool.
That is a teaching/practical hospital.
THAT IS MLOGANZILA NOT MUHIMBILI.
 
Vipi msomali halafu mkenya 'pure' wakati mmoja. Hapo pamekaaje?😁
Don't get this twisted. Kenyan (mkenya) is a nationality, just the same way Tanzanian(mtanzania) or ugandan. Somali or Arab, on the other hand, are races. Just the same way Kuna Arab Kenyans or European Kenyans Kuna pia Somali Kenyans.

Wewe unaongelea 'pure' Sukuma Arabs which is is laughable and stupid at the same time. Hivi, hujui kwamba intermarriage ikishanyafika between two different races, then there's nothing pure about the offsprings? Did you study biology in high school?

Wewe ni mjinga wa mwisho and I don't have any appoligies to make coz you truly are a stupid person
 
so hapo umekubali somali sio race ya kikennya na sio wakenya si ndio we pimbi.
 
na huyo rostam amekuwaje muiran mzee wakati ni mzaliwa wa tabora kama ilivyo mo itigi singida?
 
Kwanza hakuna mradi ambao Mwendazake aliukamilisha licha ya kukaa miaka 5 na ushee.

Hata hiyo Bandari kamalizia Samia.
Nani aliyeanzisha?
Na BRT phase 1 and 2 alikamilisha nani kama sio Magufuli??
Kimara-kibaha highway kakamilisha Magufuli au kakamilisha Samia??
KIJAZI INTERCHANGE NANI KAMA SIO MAGUFULI??
We jamaa kweli ZUMBUKUKU!
 
Huu ni upumbavu Zanzibar na Dar kuna umbali gani?

Sishangai lakini JPM ALIANZISHA HUU MCHEZO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…