Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

No doubt,but Moshi is too impressive! !
Mimi nimekaa moshi miaka 5 na nimekaa Tanga miaka 2. Tanga umepangika vizuri sana. Wajerumani waliupanga. Mitaa na barabara zake zipo vizuri. Moshi naijua sana haiwezi kuingia kwa Tanga hata kidogo (Nafahamu mitaa yote ya Moshi)
 
Mlimani city mall.

a6173cf34421dc38acecd0ec002070ed.jpg

9b27276526508de619fbcb8c79c8b1ed.jpg

007b5c3e92a2e55947bde0f232a93fd7.jpg

924311c79fd3e49d6e69ab4dc321c69d.jpg

a56a22a8bffdc956439c730844456afd.jpg

ba65ced0f8f2857a356fb623ea3187ab.jpg

f4d37bdb26e2b8a5821be822022e4703.jpg

be30f223236b163d5cb210a0c6371a07.jpg
 
Sijui unadefine vipo mpangilio...I can tell you Tanga kumepangika lakini hutothubutu kuonyesha closely photo maana kumejaa vinyumba cha kizamani ambavyo havijaendelezwa...Nimewah kufika Tanga mara kadhaa,maeneo ya usagara,raskazone pongwe na Maeneo kadhaa sijashika majina! Ni ajabu Moshi pamoja na udogo wake pako well maintained na hili ni ukwel najua hutabisha
 
Huwezi ukapambanisha Tanga na Moshi ndugu yangu. Labda hapa tunaongea tu. Tanga iko vizuri. Labda tufurahishane tu.
Ukiongelea vijumba nenda Moshi maeneo ya Majengo, Njoro, Pasua, Kiborooni utaniambia.
Maeneo ambayo yapo vizuri Moshi ni SOWETO, Shanttown na Mjini katikati. Sehemu nyingine siyo.
Naijua sana Moshi mimi huwezi ukaringanisha hata robo na Tanga.
 
Mkuu kwa mpangilio wa mji Tanga hana mpinzani, then next atakuwa Dodoma na Moshi
 
Siwezi kupinga facts wadau...Ni ukweli usiopongika Tanga kumepangwa,but nadhan mlinielewa tangu awali ya kwamba Moshi nako pia palipangwa!!
Nadhan kwa mipango ni Tanga, Moshi,Dodoma!!Miji mingine kama Moro nayo sio mbaya hawakufeli
Mkuu kwa mpangilio wa mji Tanga hana mpinzani, then next atakuwa Dodoma na Moshi
 
Unajua wewe ulipewa kazi na jamii forums kuengage wakenya sisi tunainvest seriously huko mashinani hapa tao nkudunga job nakuenjoy.
Chelsea vs Liverpool nlikunywa tusker cedar 7
7f644b33f8555562d9a62d88b52b3ae0.jpg
We kunywa hio haituhusu ila kutuambia una miliki 5 acres kwenye mashamba ya settlers kericho ni sawa na kuvuliwa nguo sokoni asbh saa nne😀😀
 
NALIAMSHA DUDE: how kenyans are describing poverty on twitter.

many kenyans are economically and socially very poor.

the statement they give on jf make others think kenya is a paradise or heaven where streams of milk and honey flow directly to their mouth without any struggle.

it's our duty to refute that nonsense mentality with references.
now check how they describe poverty on twitter in relation to their economy/environment.

60b99f86a1e59bcec91ae1bfe2ea0317.jpg
b191af6254ae570b614c63ce70eaf738.jpg
b4031062dd3859f22bab5f3a7f76ad0d.jpg
27f6b3119115007f469fd0acfc931131.jpg
b02b4dc551318427b69729ce1e084cde.jpg
2bc03da7ae495de383bab9f7e9ee98aa.jpg
aac2479fef2bf9d5e30c2d72cfd96181.jpg

NB:
more screenshots are coming.
Huyu jamaa kaongea point kubwa sana😀😀
IMG_1176.JPG
 
Back
Top Bottom