Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

+600000 mathare bado soweto utakuta hapo wanaposema cbd ni 50000 tu
CBD mara nyingi wanaishi investors na wafanya biashara wakubwa sana
Slums nairobi ziko nyingi sana kuna😀😀😀😀


 
DPiNMpfX4AExQxl.jpg


DPiNPBFWsAIxwcu.jpg


DPiNP1HXkAAiHAT.jpg


 
Uchumi wakupika ikiwa debt to GDP is 60% hapo kuna uchumi😀😀😀😀😀
Ukame, njaa, nusu jagwa, slum, ukabila, madeni, ulaghai, kupenda sifa, kujifanya ma english-rat, kushindia sukuma wiki uku uchumi ni mkubwa hiyo ndio kanya ya middle economy
 
Kericho ina nyumba 3 tu ndio zinaonyeshwa kila angle,the rest ni vibanda vingi na mashamba,ilifaa muda ukifika miji2ya hovyo tuisitiri jaman

Nairobi,mombasa, Nakuru,kisumu...eldoret ni kata moja tu ya nairobi msipoteze maana ya huu uzi kutujazia miji midogo ambayo haijaiva bado, Even our ingira no bana..

We have Dar, Mwanza,Arusha let's celebrate hao
 
Those are the immediate photos in Google........town za hawa wasee looks neolithic and the poverty is right in the middle of their towns.sad

Unajua iringa ni mkoa. Sasa unapo search Google iringa unafikiri watakuletea iringa town pekee?, watakuletea na wilaya zake nyingine pamoja na vijiji.
 
NALIAMSHA DUDE: how kenyans are describing poverty on twitter.

many kenyans are economically and socially very poor.

the statement they give on jf make others think kenya is a paradise or heaven where streams of milk and honey flow directly to their mouth without any struggle.

it's our duty to refute that nonsense mentality with references.
now check how they describe poverty on twitter in relation to their economy/environment.

60b99f86a1e59bcec91ae1bfe2ea0317.jpg
b191af6254ae570b614c63ce70eaf738.jpg
b4031062dd3859f22bab5f3a7f76ad0d.jpg
27f6b3119115007f469fd0acfc931131.jpg
b02b4dc551318427b69729ce1e084cde.jpg
2bc03da7ae495de383bab9f7e9ee98aa.jpg
aac2479fef2bf9d5e30c2d72cfd96181.jpg


NB:
more screenshots are coming.
 
Kericho kuna mashamba ya chai tu na nyumba 3 za floor tano hadi 9 ndio uweke2na Arusha yenye 5* Hotels 10,4* 24 ,3*50+ Na zaidi na zaidi. ..

Sometimes uwe na aibu
Kericho kuna 13 floor msee...alafu 1000 acres of tea has been surrendered for expansion of the town
 
Kericho kuna 13 floor msee...alafu 1000 acres of tea has been surrendered for expansion of the town
Arusha kuna mbuga zenye wenyama tele Tele tourist hub ,kuna mashamba ya maua( horticulture ),viwanda vilivyopo Arusha katu huwez compare na kijiji kidogo chenye shamba la chai kericho
 
Back
Top Bottom