COLLOH-MZII RELOADED
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 7,544
- 3,131
Kericho ni county na ina wakaaji 1 million....100000 wanaishi mjini na 70000 wako kwa farms...the rest wana mashamba yao ni wakulima wa chai na maziwa ndio hio ngombe na chai on the backgroundWe kunywa hio haituhusu ila kutuambia una miliki 5 acres kwenye mashamba ya settlers kericho ni sawa na kuvuliwa nguo sokoni asbh saa nne😀😀