ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,455
- 89,878
Nini msingi wa hii hoja Yako? Na exposure inaingiaje kwa mimi kujua taarifa za DEDs waliotapanya pesa?Ndio maana nasema hauna exposure na mamo mengi.
Nimekuambia kuna hospitali wakurugenzi wa hizo halmashauri walikamatwa kwa kutapanya pesa na hospitali hazikukamilika je unazijua????
Hakuna sababu ya maana umeandika zaidi ya blaa blaa za kufikirikaUnajua kwanini hazipitiki???
Au hujasoma maelezo yangu kwa umakini?
Ushaishiwa.Nini msingi wa hii hoja Yako? Na exposure inaingiaje kwa mimi kujua taarifa za DEDs waliotapanya pesa?
Conference Tourism zinaendelea ππ
View: https://twitter.com/wizara_afyatz/status/1755590214863729100?t=3sTPDgFV0OD9WYWddEiAqA&s=19
Kwa akili zako za ufia kizimkazi huwezi ukaelewa.Hakuna sababu ya maana umeandika zaidi ya blaa blaa za kufikirika
Endelea kutoka povu wenzako wanachangamkia fursa ππHiyo ni kufuta ama kupunguza??
Amepunguza sio kufuta.
No.3 bado ipo,unatofautishaje kodi za halmashauri na serikali??
Kwani halmashauri sio serikali??
Pesa zinazokusanywa na halmashauri zinaenda wapi kama sio TRA chombo kikuu cha ukusanyaji mapato??
Pita Morogoro uingie vijiji vya kuelekea Matombo kuanzia njia ya pale Luolole hadi gunia la pilipili unalipia ushuru.
Bleeeh bleeeeh bleeΓ©eh.Endelea kutoka povu wenzako wanachangamkia fursa ππ
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1753407167913189544?t=lS9YeXKxgdxYlFmf3G2wNA&s=19
Ushaishiwa.
Ngoja nikuache tu.
Malalamiko fc πππππKwa akili zako za ufia kizimkazi huwezi ukaelewa.
HAUNA UBONGO HUO WA KUELEWA.
Bleeeh bleeeh bleeeehMalalamiko fc πππππ
Mimi natazama matokeo wewe endelea na mihemko,kazi inaendelea ππ
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1751499920358412599?t=utBiaOuslHenIy3Xyf-rrA&s=19
Lawama Camp πππBleeeh bleeeeh bleeΓ©eh.
Toka nizaliwe FURSA KANIIPA MAMA ANGU NA BABA ANGU MZAZI.
Fursa pekee nilioichangamkia ya 10% ya pesa za halmashauri kwa mkopo wa kinamama,walemavu na vijana.Lawama Camp πππ
Tafuta fursa Nchi imefunguka hii ππ
View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1754439719620894731?t=XWgFZdwSFP-ntOg0AxCUlw&s=19
Maumivu sports π€ͺπ€ͺπ€ͺBleeeh bleeeh bleeeeh
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.Maumivu sports π€ͺπ€ͺπ€ͺ
Changamsha Bongo acha kulaumu ,tafuta pesa kabla hawajaja wale roho mbaya Wagalatia wa π
Katafute kibarua hapa Kidunda,Mama kamwaga mapesa kazi inaendelea ππ
View: https://www.instagram.com/p/C3FqBhWohey/?igsh=MTJ2MzNzZjFiZXVnYw==
Baada ya Rais kupiga pini Ufisadi wenu mliokuwa mnashirikiana na Maafisa wa Halmashauri ndio unamwaga povu hivi kumbe ππFursa pekee nilioichangamkia ya 10% ya pesa za halmashauri kwa mkopo wa kinamama,walemavu na vijana.
Na nimefanikiwa katika hilo March mpunga unaingia basss.
Mbona unalialia sana πππ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.
Kwani mkuu mie jobless??
Mbona unaniandamaa!!
Kilichoharibu Barabara huko kwenu ni hiki hapa πBleeeh bleeeh bleeeeh
Wawekezaji waliopo kenya wanaondoka huku unakaribisha wengine =1-1=0πKiwanda Cha Bil.12? Hicho ni kiwanda au Garage ? ππ
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1755288447890194707?t=eBuKnDGEh7EGJOx92Zol6A&s=19