babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,905
- 34,907
Unajua kwanini anapost hivo! Ni ili siku m23 wakimalizwa aje kuandika humu kuwa jeshi lao limeshiriki mapambano ya kuwafukuza hao m23.Hahahaha. News from Kenyan media. Mama Ngina sponsored media.