Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo link yako sijaona sehemu imeandika Tanzania zaidi tu nmeona %of population living in urban areas au kama unaweza screenshot then tupia humu, msifosi tufanane 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Sema tu network ndio shida hapo ulipo🀣🀣🀣🀣

 
Ati sisi hatuna slums wakati 41% of all urban Tanzanians live in slumsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

 
Kwan hii ni mathare gani?
Filter kibao lakin uhalisia ndo huu...
Na watu ni maskini sana wako wanaomba dollar 1 ili wale. Watoto wanachezea kwenye madampo. Single mother kama wote
Hawa wametembea saa zima ndani ya slum na hawajamaliza yote kote ni mabanda na nyumba za mabati..

View: https://youtu.be/SpFKpxupOeM?si=ll20cuwi9GermSrZ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…