Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu nimeona unasema kiwalani kuna makazi ya hovyo, mkuu kiwalani nyumba zimekaa kimpangilio isivyo kawaida na kila mtaa una lami fatilia utaona mzee.
 
Nimezungumzia MRL.
Hiyo MRL inafanya nini hapo??
Uliambiwa ulete air defence system ukaleta mpaka rocket launch system.
Akii we ni kitobo.
So ulitaka nivute na rubber ibaki air defense systems pekee yake ama? 😂 😂 😂 Enyewe we ni fala.
 
Mkuu nimeona unasema kiwalani kuna makazi ya hovyo, mkuu kiwalani nyumba zimekaa kimpangilio isivyo kawaida na kila mtaa una lami fatilia utaona mzee.
Kiwalani ipi kaka unayosemea wewe?
Mie nazungumzia kiwalani hii karibia na TAZARA.
Huku kwenye madampo
 
So ulitaka nivute na rubber ibaki air defense systems pekee yake ama? 😂 😂 😂 Enyewe we ni fala.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Punguza bangi basi.
Asa si unge crop tu ije upande wa air defense system?
 
Dar nzima ni uswazi bongolala. From Tandale, Mazense, Buguruni, Gongo la mboto, Tandika, Vingunguti, Buza, Temeke, Tabata, Kimanzi, Mwananyamala, Makumbusho na maeneo mengine meeengi yote ni makazi mabovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…