Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

AMARII hivi hiyo alama ia infinity kichwani kwenye avatar yako inatupa ujumbe gani?

Ndugu yangu hiyo alama ndio hivyo infinity.. Ila nimeitumia tu sio kwa kufikisha ujumbe wowote..

Nilichagua tu kuitumia kama pia nilivyochagua jina Amarii... 😊
 
Konza City has is doing what Dodoma Village couldn't do in 78yrs.

Look at the pavement, look at the beautification of the road, traffic lights are everywhere, street lights are everywhere.

This is the real horizontal infrastructure I was talking about.
View attachment 2892640View attachment 2892643
The horizontal infrastructure of Konza tech city is only comparable to advanced first world facilities…. The trash collection technology itself is something never witnessed in Africa before…. And that’s just the beginning…. Can’t wait for the vertical growth..
 
The horizontal infrastructure of Konza tech city is only comparable to advanced first world facilities…. The trash collection technology itself is something never witnessed in Africa before…. And that’s just the beginning…. Can’t wait for the vertical growth..
Konza vertical infrastructure is better than any city in Africa. That's why it's called a Smart City/Tecno City.
 
Jumping here and there like a frog. Ukishashindwa kwenye hoja Moja unaruka Kwa nyingine. If I may ask you, do you have any proof of what you are saying?
Jibu ndio au hapana mzee. 🤣 🤣 🤣 Maneno meeengi kama mgonjwa wa kisonono.
Je, is not true that DRC President expelled your weak army?
 
Slums ni maeneo ambayo kuna wakazi wengi ambao wanaishi makazi duni yaliyorundikana sehemu ndogo tena yaliyojengwa kwa mtindo duni mathalan makazi ya mbao chakavu au mabati chakavu.

Unplanned settlement ni maeneo yaliyojengwa makazi pasi na mipango miji wala mpangilio maalum wa makazi.

Nadhani umeona utofauti.
...wanaishi makazi duni yaliyorundikana sehemu ndogo tena yaliyojengwa kwa mtindo duni...

If the above statement is your definition of a slum, then tell me;

1. These places below, are they not overcrowded (mrundukano)?

2. Are these types of houses below not if low quality (yaliyojengwa kwa mtindo duni)?
manzese-980d6ac6-0f71-4237-b61d-83162fdc3f0-resize-750 (1).jpeg
images - 2023-11-21T202754.398.jpeg
images - 2023-11-30T202027.701.jpeg
images - 2023-11-08T180712.916.jpeg


Keep living in denial bongolalas and mentioning Kibera everytime to help you lick your wounds forgetting that you have way bigger Kiberas and Mathares in your glorified fishing village that's called a city for lack of a better word
 
Back
Top Bottom