Is Dodoma not 78yrs?Vile unaota mchana mchana it's of it's kind 😂😂😂😂😂
Always jua kali licha ya make up ila jua kali inaonekana.Safi kama ulaya.
![]()
Hamnaga proper infrastructure isiyo na jua kali, yn lazima kuwe na jua kali, always jua kali.Safi kama ulaya.
![]()
Kama Shenzhen mwanangu ❤️❤️😘😘😍🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥Hapo Nairobi Shots kama hizi wataziona kwenye TV tu. 🤣 🤣 🤣 🤣
View attachment 2892073
Kama CPT mwanangu, huwa tunawaambia picha nyingi za Dar hazijawekwa humu wanabisha 😘😘❤️❤️😍😍🇹🇿🔥🔥
Hawa NYS tukipea bunduki wanateka tu dar wako upto task
View: https://youtu.be/EqmQq2tk5Ak?si=bvwKm-27UoFtya3v
Wakenya nilishawaonya kuhusu ku post maisha yao halisi humu, huwa wanaumbuka sana, jamaa wana life ngumu sana.Mwamba anatumia bluestacks hadi leo.. 😂😂😂.. Hiyo browser sasa!
Ndio wazee wa ku click link na ku tengeneza dollar online.
Hio picha ya chini ndio CBD ya Mbeya?😂😂😂😂
MbeyaHizi vitu unatuonyesha are available Marsabit yet Marsabit is not even considered in the league of cities in the next 100yrs.
Watchman unasema nini? Bado huwa unapanga laini kulipwa mshahara? Ulishafungua bank account ama bado unaficha pesa chini ya mattress?Wakenya nilishawaonya kuhusu ku post maisha yao halisi humu, huwa wanaumbuka sana, jamaa wana life ngumu sana.
Hii mnaita Tatu City Bora hata Sumbawanga Municipal 👇👇Eneo Commercial Building at Tatu Central. This kind of quality buildings you can find in Dodoma.
View attachment 2893085View attachment 2893087
Dar es salaam clear , usilieOOOOH! Now I know you guys just love to compare yourselves with us, maybe to console yourselves that you are close.
After we beat you in a thread you sensationally come up with another one, We are better than you in every possible way and you know it.
Maybe this thread will make you happy for a moment but after several posts you will open another one. I am sure it is not your memory. We have like 10 threads already showcasing this things.
Whenever I look at Konza videos I feel proud as a Kenyan. On matters horizontal infrastructure we nailed it, now let's wait for Vertical Infrastructure.
View: https://youtu.be/Zw7F99v9a40?si=ZRZfDqZItuZbhYz6
Nyota ya Pole pole ni ngumu sana kuifunika.
Hivi hiyo baridi yabisi ndiyo nini?
Kama kawaida yenu, hakuna lami.Hii mnaita Tatu City Bora hata Sumbawanga Municipal 👇👇View attachment 2893123View attachment 2893124View attachment 2893126View attachment 2893127View attachment 2893130
Ebu tuonyeshe water reclamation facility ya Dodoma tucheke kidogo.Nimepitia hii video inatia huruma sana, 20 years bado mpo na ujinga huu 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇
View attachment 2893134