Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii ndio successful mission! Idiot. 😂😂😂
Unataka kumaanisha hizo nchi zote hapo bado zina vita? 😂 😂 😂 Enyewe wabongo munakuanga wapumbavu. Au unadhani UN inaweza shinda ikipeana missions to an unsuccessful army?
 
What are the general qualities of a slum and an unplanned settlement?
Slums ni maeneo ambayo kuna wakazi wengi ambao wanaishi makazi duni yaliyorundikana sehemu ndogo tena yaliyojengwa kwa mtindo duni mathalan makazi ya mbao chakavu au mabati chakavu.

Unplanned settlement ni maeneo yaliyojengwa makazi pasi na mipango miji wala mpangilio maalum wa makazi.

Nadhani umeona utofauti.
 
Unataka kumaanisha hizo nchi zote hapo bado zina vita? 😂 😂 😂 Enyewe wabongo munakuanga wapumbavu. Au unadhani UN inaweza shinda ikipeana missions to an unsuccessful army?
UN kuna maeneo kibao wameshindwa kutatua migogoro hata huko Mali na Niger si wamefukuzwa jeshi la UN?
 
Kenya ilizidiwa na wanaume wanne tu toka Somalia 🤣 🤣 🤣 🤣
Mwaka jana Kenya imefukuzwa Congo DRC
Kama anajidanganya na budget sio korokoro gani pole yake.
Yemen wana millitary personnel wachache na limited fire power ila wakamtandika Saudi Arabia.
Jeshi ni mbinu na hari ya vita.
Nahisi ni kitu KDF wanakosa .
 
Unataka kumaanisha hizo nchi zote hapo bado zina vita? 😂 😂 😂 Enyewe wabongo munakuanga wapumbavu. Au unadhani UN inaweza shinda ikipeana missions to an unsuccessful army?
Unaambiwa ulete successful mission za Kenya Dimwits Force wewe unaleta peace keeping, enyewe wewe ni mkumbafu.
Lete successful mission hapa.
 
Jeshi kubwa? In terms of what?

Budget?
Tanks?
Total number of aircrafts?
Submarines?
Active frontline personel?

Nyinyi ni empty talks tu as usual
Sitaki niongee kwa maneno naongea kwa vitendo. KDF is a weak army

1706966844900.png
 
Unaambiwa ulete successful mission za Kenya Dimwits Force wewe unaleta peace keeping, enyewe wewe ni mkumbafu.
Lete successful mission hapa.
Wewe ndio pumbavu. Most missions hapo are succesfull, the war ended and troops withdrawn. Au hujui kusoma dates. 👇 👇 Enyewe hii imewauma. 😂😂😂 Sierra Leone is a very good example of one of the many successful peace keeping missions on the map below.

index.jpg
 
Tanzania Fighter Jets vs Weak Kenya army
Tanzania has (Shenyang J-6 (F-6) and Chengdu J-7(F-7)

Kenya has F-5

🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nicxie
🤣🤣🤣🤣🤣🤣…. Wow!… your comparison is so dumb and full of malarkey … none of your jets are comparable to our updated F-5….. which is still in active use by the US Air Force…. Even Chinese will laugh at your joke..🤣🤣
 
Back
Top Bottom