Zuwenna
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 2,203
- 4,111
Mh! UpovizuriKuja Kenya. Transportation na Visa arrangements, niachie mimi. Ukiwa tayari ni-beep
Mh! UpovizuriKuja Kenya. Transportation na Visa arrangements, niachie mimi. Ukiwa tayari ni-beep
Usiniletee link ya forum ya Dar. Niletee neutral source.Ndio maana nimekwambia usiniletee source za ovyo kama unayo niletee official source😀😀😀😀
Ingia humo plz
Dar es Salaam - SkyscraperCity
Kabisa mrembo.Mh! Upovizuri
hahaha..huyo ni mwanamke?...mbona kama anafanana na mwanaume?...smhMmh kenya manzi wao na magarisoo wao wanafanana mbaya. Yani hawezi ona tofauti View attachment 627103 mwanamke huyo. Wasijaribu kabisa
Hahaha.... Thats art my friend. Art haibagui tuna pia za diamond na alikiba. Fanya bidii pia wewe tukuchore kwa hizi manyanga zetu si daladala.

Jina lake magret wambui.hahaha..huyo ni mwanamke?...mbona kama anafanana na mwanaume?...smh
zuwenna my sister,muulize kwanza ana ajira ya maana au kama sio muajiriwa,ana biashara zinazomuingizia kipato kizuri kinacho muwezesha kuishi na mtoto mzuri kama wewe?.Mh! Upovizuri

kila ukitakacho wewe kimo humo zungukia project husika tafadhali utapata each dataUsiniletee link ya forum ya Dar. Niletee neutral source.
Wajaribu waganda wenzenu.zuwenna my sister,muulize kwanza ana ajira ya maana au kama sio muajiriwa,ana biashara zinazomuingizia kipato kizuri kinacho muwezesha kuishi na mtoto mzuri kama wewe?.
kuwa makini sana na vijana wa kikenya,usipagawe na hivi kingereza vyao vya kwenye mitandao ya kijamii.
wengi wao hawana ajira...ni ma-jobless wanao zurula mitaa ya CBD wakitafuta jengo linalotoa Huduma ya free Wi-Fi ili waweze kupata Huduma ya internet.
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Heheheh hapo ndipo hua nafurahia kua no of internet users in millions kenya 43.33 and population is 49 million inamaana mpaka watoto wadogo wamiaka 4 na wazee wanatumia internet😀😀😀😀Wajaribu waganda wenzenu.
Number of internet users in selected countries in Africa as of June 2017, by country (in millions)
Number of internet users in millions
Nigeria 91.6
Kenya 43.33
Egypt 37.33
South Africa 29.94
Morocco 20.54
Uganda 19
Algeria 18.58
Ethiopia 16.04
Sudan 11.81
Ghana 9.94
Tanzania 7.39
Zimbabwe 6.72
Cote d'Ivoire 6.32
Omera we are digital. .....my 4 year old niece and nephew can easily use their smartphones. LDC mtajua hamjuiHeheheh hapo ndipo hua nafurahia kua no of internet users in millions kenya 43.33 and population is 49 million inamaana mpaka watoto wadogo wamiaka 4 na wazee wanatumia internet😀😀😀😀
Hvi munapo danganya watu hua hamfikrii 😛😛😛😛
Heheheh hapo ndipo hua nafurahia kua no of internet users in millions kenya 43.33 and population is 49 million inamaana mpaka watoto wadogo wamiaka 4 na wazee wanatumia internet😀😀😀😀
Hvi munapo danganya watu hua hamfikrii 😛😛😛😛

porojo...Omera we are digital. .....my 4 year old niece and nephew can easily use their smartphones. LDC mtajua hamjui

Kweli hapo na mimi ndipo huwa nikifika wakenya wananikera kwa tabia yao ya uongo kwa kupenda sifa kuona wanakaribia kuwa ulimwengu wa kwanza wakati ni masikini hivi hapo kenya kila simu ina internet au hakuna watoto wala wazee au kila mtu ana device 10 ete 43 million du?!!!Heheheh hapo ndipo hua nafurahia kua no of internet users in millions kenya 43.33 and population is 49 million inamaana mpaka watoto wadogo wamiaka 4 na wazee wanatumia internet😀😀😀😀
Hvi munapo danganya watu hua hamfikrii 😛😛😛😛
Leta link iliyoandaliwa na international source sio makanjanja wakora wa kiberaWajaribu waganda wenzenu.
Number of internet users in selected countries in Africa as of June 2017, by country (in millions)
Number of internet users in millions
Nigeria 91.6
Kenya 43.33
Egypt 37.33
South Africa 29.94
Morocco 20.54
Uganda 19
Algeria 18.58
Ethiopia 16.04
Sudan 11.81
Ghana 9.94
Tanzania 7.39
Zimbabwe 6.72
Cote d'Ivoire 6.32