Hata ruto anakiri ukweli kwann ww usikubali ukweli ???π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Only a stupid bongolala like you can believe that 2.5 million people can actually fit in such a small area with no high-rise apartments. Thatsya population density of a million people per square kilometer! You are actually a fool if you think that's a possibility.
Eti Umoja ni slum!?!ππππ
Well bongolala, this is Umoja 'slum'View attachment 2891111View attachment 2891112View attachment 2891113View attachment 2891114View attachment 2891117View attachment 2891121
Now compare Umoja "slum" with your middle-class areas below View attachment 2891126View attachment 2891130
Huwa nasema kila siku kwamba hapa hakuna battle, ni kujifurahisha tu
Bara kuna resources nyingi hivyo maendeleo hayaepukiki. Awamu ya sita wameshindwa kuitangaza Tanzania kwenye ufunguzi wa mashindano ya kwanza kabisa Afrika, wanamwachia Kagame aitangaze Rwanda, kama siyo uzuzu ni nini? Mwinyi anainadi Zanzibar kwenye EPL, mama Samia alishindwa nini kufanya hivyo, zaidi ya kuitwa tour guide kwenye muvi yake ya kifisadi.Uwezo upi huo ambao anaifanya huko Zenj na Bara haufanyiki?
Saizi anakimbiwa na Mawaziri na Serikali ya umoja Iko hatarini
Wewe hauna jipya. The things you call slums zikiletwa Dar zinakuwa middle-class areas.Baada ya kumaliza haya tuoneshe mitaa ya Mathare, Kawangware, Korogocho nk maana zinachukua zaidi ya 40% ya Nairobi are.
Kuna mtu jirani yangu hajawahi kuona slums. Hebu tuoneshe chache asuze moyo wake.
Una matatizo wewe ya nongwa sio Bure.Basi sawaBara kuna resources nyingi hivyo maendeleo hayaepukiki. Awamu ya sita wameshindwa kuitangaza Tanzania kwenye ufunguzi wa mashindano ya kwanza kabisa Afrika, wanamwachia Kagame aitangaze Rwanda, kama siyo uzuzu ni nini? Mwinyi anainadi Zanzibar kwenye EPL, mama Samia alishindwa nini kufanya hivyo, zaidi ya kuitwa tour guide kwenye muvi yake ya kifisadi.
Mwarabu bandia unakuanga fala. π π π Wewe chochote unaona kwa mtandao unaamini. Wacha nikucheke tena, ππππ Kumbe hujui PET/CT machine. Hio machine inaitwa vitalbeam or truebeam linear accelerator inatumika kufanya radiotherapy. Ndio hii hapa at Mombasa Cancer Center. ππHvi ww unajua PET scan inavokaaπ€£π€£π€£π€£
View: https://twitter.com/JrFadiga/status/1741756747059003701?t=2SS9pYqlst978wnFOuAf0g&s=19
Hivi uliona sawa kwenye yale mashindano yaliyooneshwa live na FIFA, kukosa hata tangazo moja la kulitangaza daraja la mungu la huko kwenu au kile kimondo cha Mbozi? Let alone the usual ones, Serengeti, Kilimanjaro...Una matatizo wewe ya nongwa sio Bure.Basi sawa
Mbeya iko na miundumbinu zipi to give it a city status?Kipimo cha mji ni watu,makazi,hitaji la miundombinu na ongezeko la shughuli za kiuchumi.
Je miji yenu ilijengwa tu pasi na kuzingatia hilo jambo?
60% of Nairobi residence live in kibera, na upo very confident ukipost tweets zingine hapa. Wewe ni dwanzi and am glad hamna mtu hapa huwa anakuchukulia serious60 to 70% wanaishi kibera what about other 30 lovely slums ??π€£π€£π€£π€£π€£
Mtu anakaza fuvu wakat dunia nzima inaitambua kibera kama ndio kinara kwa worse slum on planet
View: https://twitter.com/MBashende/status/1547253414991695873?t=rmIrCsI0AaUMSsbhgX0CbA&s=19
View: https://twitter.com/ngmaroa/status/1111367014591926277?t=lyRgOE9Yh6DiMaVPYmvtXw&s=19
It is a breadbasket of our country.Mbeya iko na miundumbinu zipi to give it a city status?
Mbeya iko na miundumbinu zipi to give it a city status?
Mbuni ni ndege wa ajabu. Mbele ya hatari anaficha kichwa chake eti asipoona hatari hatari haitamwona yeye. Kumbe matako bado yanaonekana waziwazi.60% of Nairobi residence live in kibera, na upo very confident ukipost tweets zingine hapa. Wewe ni dwanzi and am glad hamna mtu hapa huwa anakuchukulia serious
Manzese ambako ndio sehem ya Uswazi hakuna majengo mabaya kama hivi ngoja nkuletee picha za manzeseWewe hauna jipya. The things you call slums zikiletwa Dar zinakuwa middle-class areas.
Kawangware View attachment 2891155View attachment 2891156View attachment 2891158View attachment 2891159
Dar middle-class areasπππ
View attachment 2891160View attachment 2891162View attachment 2891163View attachment 2891164
Wabongo bado munashibikia CT Scan kwa hospitali za mikoa. πππ Kenya will always be 5 steps ahead of you.
Radiotherapy machines now available in the following Cancer Centers in Kenya. π π
View: https://x.com/MOH_Kenya/status/1618496026683510784?s=20
Hiyo saikolojia ya ufinyu wa mawazo, hata watoto (chini ya miaka 2) wanayo. Mtoto akificha macho na mikono yake anadhani humuoni kwa kuwa yeye hakuoni.Mbuni ni ndege wa ajabu. Mbele ya hatari anaficha kichwa chake eti asipoona hatari hatari haitamwona yeye. Kumbe matako bado yanaonekana waziwazi.
-Wahenga walisema
Baada ya kuumbuliwa sasa unatapatapa kama kuku aliyekatwa kichwa ghafla, ha ha ha.ππWabongo bado munashibikia CT Scan kwa hospitali za mikoa. πππ Kenya will always be 5 steps ahead of you.
Radiotherapy machines now available in the following Cancer Centers in Kenya. π π
View: https://x.com/MOH_Kenya/status/1618496026683510784?s=20
Eti enhh ndio unavojipa matumaini?π€£π€£60% of Nairobi residence live in kibera, na upo very confident ukipost tweets zingine hapa. Wewe ni dwanzi and am glad hamna mtu hapa huwa anakuchukulia serious
Haswa, Joburg ilijengwa na machimbo ya dhahabu, Dubai imejengwa kwa mafuta machafu.Ujuavyo wewe miundombinu ni maghorofa tuh?
Kuna miundombinu ya kiuchumi ya kilimo na madini.
Na pia kumeleta uhitaji wa kuongezeka miundombinu mingine ambayo iko mbioni kujengwa kwasababu ya ongezeko la watu.