ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,450
- 89,851
You know they 20. Sasa unataka nikusaidie Tena and you already know the number?There is more than 20 slums in Nairobi, kibera is a one of them.
Je unaweza kunisaidia kutaja slums zingine zilizomo Nairobi?
Do you know, which is the best slums in Nairobi?You know they 20. Sasa unataka nikusaidie Tena and you already know the number?
Kubishana na watu ambao wako na huu mentality ni balaa ๐Hii picha moja unaionesha tangu jana. Tukisema wewe ni mshamba na mjinga tutakosea? Air Tanzania ina enda every week to China na China ndiyo center ya World Technology.
Hilo bichwa lako unatumia kufugia nywele pekee yake?
Ushamba unawasumbua, hajui chuo cha St John's Dodoma kilijengwa kama Alliance High School. Nyerere alipotaifisha shule za kanisa ikaitwa Dodoma Secondary school (Dodoma seko). Kikwete alipozirudisha shule za kanisa ndo wakaamua kikifanya chuo.Kwa hiyo nyie ndio wa kwanza duniani kuwa na Alliance High School. Mbona unazidi kuwa mshamba hivyo?๐
Mzee kumbe unabishana!!! Nilikuwa sielewi. Sisi tunajadiliana kijana. Ubishi wako peleka Kibera.Kubishana na watu ambao wako na huu mentality ni balaa ๐
What kind of argument is this. Just saying words, nothing comprehensive about it
Alliance High School zilikuwa ni shule za kanisa la Anglikana, sasa kama wakenya mnamiliki kanisa hilo la waingereza sawa.Pia Alliance High School Na Alliance Girls High School mliamua kucopy. Wueh.
Bonge la KO. Kwa sasa watajificha kisha wataibuka na GTC.Wakunya msitetemeke Wala kupanicView attachment 2891115View attachment 2891116View attachment 2891118View attachment 2891119View attachment 2891120 haya ni mambo madogo tuu Tzn tunafanya,kubwa kuliko Bado inakuja ๐๐
Only a stupid bongolala like you can believe that 2.5 million people can actually fit in such a small area with no high-rise apartments. Thatsya population density of a million people per square kilometer! You are actually a fool if you think that's a possibility.Ajabu kuna zaidi ya 2.5m kenyans pale ๐คฃ๐คฃ
Achilia mbali slums zingine kama mathare , kariobangi, makuru kayaba, kisumu ndogo, umoja etc
Eti vyo na mifumo ya mahi taka?
Zipi hizo wakati zaidi ya nusu ya Dar haina sewer system mfumo ni pit latrines?!
And did you mention Kariobangi? The larger part of kariabngi is way better than your uswazi hovels that dot your house nyire cityscape
View attachment 2891101View attachment 2891102View attachment 2891103View attachment 2891106
Kwani ww unafkiri kwann kibera inatajwa kua the largest slum on planet unajua sababu kubwa ?? Sababu kubwa ni sehemu ndogo iliokusanya maiti watarajiwa wengi sana kuliko idadi ya eneo ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃ๐คฃOnly a stupid bongolala like you can believe that 2.5 million people can actually fit in such a small area with no high-rise apartments. Thatsya population density of a million people per square kilometer! You are actually a fool if you think that's a possibility.
Eti Umoja ni slum!?!๐๐๐๐
Well bongolala, this is Umoja 'slum'View attachment 2891111View attachment 2891112View attachment 2891113View attachment 2891114View attachment 2891117View attachment 2891121
Now compare Umoja "slum" with your middle-class areas below View attachment 2891126View attachment 2891130
Huwa nasema kila siku kwamba hapa hakuna battle, ni kujifurahisha tu
Baada ya kumaliza haya tuoneshe mitaa ya Mathare, Kawangware, Korogocho nk maana zinachukua zaidi ya 40% ya Nairobi are.Only a stupid bongolala like you can believe that 2.5 million people can actually fit in such a small area with no high-rise apartments. Thatsya population density of a million people per square kilometer! You are actually a fool if you think that's a possibility.
Eti Umoja ni slum!?!๐๐๐๐
Well bongolala, this is Umoja 'slum'View attachment 2891111View attachment 2891112View attachment 2891113View attachment 2891114View attachment 2891117View attachment 2891121
Now compare Umoja "slum" with your middle-class areas below View attachment 2891126View attachment 2891130
Huwa nasema kila siku kwamba hapa hakuna battle, ni kujifurahisha tu
Utakuwa zuzu kutoona uwezo wa Rais Hussein Mwinyi, huyu angekuwa Rais wetu sasa tusingekuwa na ujinga ujinga wa kukatika kwa umeme.Hayo Makubwa ya Mwinyi ni yapi kiasi kwamba hayafanyiki Bara?
Suku gang punguzeni nongwa ๐คช๐คช
Huo ndio mjadala sasa ๐๐Mzee kumbe unabishana!!! Nilikuwa sielewi. Sisi tunajadiliana kijana. Ubishi wako peleka Kibera.
TUNAJADILIANA, HATUBISHANI
Uwezo upi huo ambao anaifanya huko Zenj na Bara haufanyiki?Utakuwa zuzu kutoona uwezo wa Rais Hussein Mwinyi, huyu angekuwa Rais wetu sasa tusingekuwa na ujinga ujinga wa kukatika kwa umeme.
What? ๐๐ we ni muongo kushinda wote hukuBaada ya kumaliza haya tuoneshe mitaa ya Mathare, Kawangware, Korogocho nk maana zinachukua zaidi ya 40% ya Nairobi are.
Kuna mtu jirani yangu hajawahi kuona slums. Hebu tuoneshe chache asuze moyo wake.