Ukipata slum dar ndani ya google earth unitag nifunge acc sasa hvi 🤣🤣🤣🤣🤣Tofauti ni unapost picha ya kibera ambayo ni slum, kutetea hoja kuwa mji wenu unakaa slum karibia yote 😅
Kipimo kinachotumika Tanzania kulitambua jiji ni idadi ya watu, hata hivyo sioni tatizo kwenye hiyo video.Bongolala hii mbeya ambayo hauna mpangilio pia munaita city. 😂😂😂😂 Nyumba zimeshikanishwa kama nyumba za panya. 😂😂😂
View: https://www.youtube.com/watch?v=OLAntC9ZiMk
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.Ukipata hii mashine Ocean Road nitafunga hii account. Sibishani tena hadi unionyeshe moja.
View attachment 2891001
Kipimo kinachotumika Tanzania kutambua jiji au mji ni idadi ya watu, hata hivyo sioni tataizo la hiyo video.
So that's your yardstick in Tanzania? That's laughable anyway. Now I understand why Mbeya is a cityKipimo kinachotumika Tanzania kulitambua jiji ni idadi ya watu, hata hivyo sioni tataizo kwenye hiyo video.
Kibera is just 2.5 square kilometers bongolala. Dar is more than 1,500 square kilometers and 2/3 of it is uswazi hovels.Mze
Bora hapo kuliko nyie mlivyojazana kibera na kaliobang
Kipimo cha mji ni watu,makazi,hitaji la miundombinu na ongezeko la shughuli za kiuchumi.So that's your yardstick in Tanzania? That's laughable anyway. Now I understand why Mbeya is a city
Bora nyumba za uswazi kuliko majumba ya mabatiKibera is just 2.5 square kilometers bongolala. Dar is more than 1,500 square kilometers and 2/3 of it is uswazi hovels.
Pole Kwa maumivu kijana wa TandaleHapana inaonwa na flying toilet za kibera🤣🤣
Siyo sehemu zote wanatumia vigezo hivyo, Marekani wao sehemu inakuwa jiji pale inaposajiliwa kisheria, hata kama ina watu 10 tuu.Kipimo cha mji duniani kote ni
1)Ongezeko la watu.
2)Ongezeko ama ukuaji wa majengo.
3)Ongezeko ama ukuaji wa shughuli za kiuchumi.
4)Ongezeko ama hitaji la miundombinu kwaajili ya kuendana na ongezeko la watu.
Haijalishi sehemu ina maghorofa au laah!Ila hivyo ndio vipimo vya sehemu kuwa mji.
Labda kama hajasoma geography factors for urbanization .
Sawa mzee wa slums 🤣🤣🤣🤣Pole Kwa maumivu kijana wa Tandale
What make it laughable?So that's your yardstick in Tanzania? That's laughable anyway. Now I understand why Mbeya is a city
Ajabu kuna zaidi ya 2.5m kenyans pale 🤣🤣Kibera is just 2.5 square kilometers bongolala. Dar is more than 1,500 square kilometers and 2/3 of it is uswazi hovels.
I can feel your pain, take a glass of water...it'll help you to calm down.
There is more than 20 slums in Nairobi, kibera is a one of them.Kibera is just 2.5 square kilometers bongolala. Dar is more than 1,500 square kilometers and 2/3 of it is uswazi hovels.
Eti vyo na mifumo ya mahi taka?Bora nyumba za uswazi kuliko majumba ya mabati
Hizo nyumba za uswazi zina vyoo,mifumo ya maji taka na huduma zingine za kawaida .
Je kibera na slum zingine zipo hivyo?