President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,657
- 94,305
CT Scans zikowapi kijana?Bongolala hii mbeya ambayo hauna mpangilio pia munaita city. ππππ Nyumba zimeshikanishwa kama nyumba za panya. πππ
View: https://www.youtube.com/watch?v=OLAntC9ZiMk
KosugiWabongo munapenda kubaki nyuma sana wakati dunia inabadilika kwa kasi. New technologies zinatokea kila siku lakini kama kawaida munabaki nyuma ju akili zenu za kijamaa zinafanya muwe slow. Kitambo diagnosis ya SPECT CT ilikua inatumia machine mbili, moja ya SPECT na nyingine ya CT scan. Kwa sasa teknolojia imebadilika na kampuni kama General Electric inatengeneza machine ya hybrid SPECT/CT ambayo imeunganisha machine zote mbili kua kitu kimoja kama machine za PET/CT. Soma hapa abstract ya mtalaamu ujue advantages za SPECT/CT kwa dunia ya sasa.
View attachment 2890338
A review on the clinical uses of SPECT/CT - PubMed
In the era when positron emission tomography (PET) seems to constitute the most advanced application of nuclear medicine imaging, still the conventional procedure of single photon emission computed tomography (SPECT) is far from being obsolete, especially if combined with computed tomography...pubmed.ncbi.nlm.nih.gov
Huna cha kuelimisha brotheee.Nilishakuhemilisha jana, siwezi poteza muda wangu kujirudia.
Mbona unakimbia?Ebu tuonyeshe ya 2024, nataka kuona kama mumetupita ju nimezoea munakuanga nyuma kama matako. π π π
Numbers do not lie. Wewe yako ni kelele tu.Mzee kwenye sector ya Afya tanzania ipo mbali sana. Tumekuambia utume hizo CT Scans za Counties unaleta usela. Umeshindwa?
Hujapata data ya 2024.Mbona unakimbia?
Kati ya Spect ct na pet ct ipi ni bora? Hilo ndio lilikuwa swali la awali acha kuruka ruka.πHujapata data ya 2024.
Si unakuja ki google google nami ngoja nkuletee ki google google vivyo hivyo.
Anaruka ruka kama maharage kwenye pressure cooker.Kati ya Spect ct na pet ct ipi ni bora? Hilo ndio lilikuwa swali la awali acha kuruka ruka.π
Nilishakuambia, hybrid SPECT/CT ni technology mpya, combining both SPECT na CT in a single machine. Bongolala mutaendelea kubaki nyuma. π π π π π Hybrid SPECT/CT is still a new technology.Si unakuja ki google google nami ngoja nkuletee ki google google vivyo hivyo.
Soma hapo utofauti wa hizo mashine mbili na ufanisi wake.
Utaendelea kutapata aibu sana we fala. πππππ
Nilishakuambia, hybrid SPECT/CT ni technology mpya, combining both SPECT na CT in a single machine. Bongolala mutaendelea kubaki nyuma. π π π π π Hybrid SPECT/CT is still a new technology.
View: https://x.com/MayoRadiology/status/1218252379038081024?s=20
Utaendelea kutapata aibu sana we fala. πππππ
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1489155137801183240?s=20
kama yemenBongolala hii mbeya ambayo hauna mpangilio pia munaita city. ππππ Nyumba zimeshikanishwa kama nyumba za panya. πππ
View: https://www.youtube.com/watch?v=OLAntC9ZiMk
π π π Kenya ikona PET/CT na SPECT/CT kama every other modern cancer hospital in the world, nyinyi endeleeni kubaki nyuma kama matako.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.
We kijana acha kuchekesha.
Embu jaribu kuficha ujinga.
Hizo zote mbili PET NA SPECT zimeunganishwa na CT kwasasa.
Hakuna inayofanya kazi bubu.
Ila kiufanisi PET CT ndio ina ufanisi mkubwa.
Au unachanganyikiwa na neno hybrid?
We jamaa fala sana.
Lest CT Scan wacha ubabaishaji hapaUtaendelea kutapata aibu sana we fala. πππππ
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1489155137801183240?s=20
Hakuna PET/CT hapo kenya mzee. Usidhani hii ni kama unanunua unga wa mahindi mzee.π π π Kenya ikona PET/CT na SPECT/CT kama every other modern cancer hospital in the world, nyinyi endeleeni kubaki nyuma kama matako.
Leta CT CT Scan mzee mbona unapotezea?Wabongolala pia hiki kijiji munaita town. π π π π π
View: https://www.youtube.com/watch?v=Pk7nPY6FA30