Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

We jamaa ni mbishi!!
PET/CT ndio kifaa bora huhitaji kuwa na vifaa vingine kama una hicho katika diagnosis.
Maana hiko hupima kwa usahihi zaidi .
Ni sawa ukiwa na mfumo wa full blood picture diagnosis/hematology analyzer huhitaji kuwa na electron microscope wala light microscope wala aina zingine za microscope.
Punguza u much know.
Na hizo PEC ndizo zilizofungwa ocean road hospital.
 
Wabongo munapenda kubaki nyuma sana wakati dunia inabadilika kwa kasi. New technologies zinatokea kila siku lakini kama kawaida munabaki nyuma ju akili zenu za kijamaa zinafanya muwe slow. Kitambo diagnosis ya SPECT CT ilikua inatumia machine mbili, moja ya SPECT na nyingine ya CT scan. Kwa sasa teknolojia imebadilika na kampuni kama General Electric inatengeneza machine ya hybrid SPECT/CT ambayo imeunganisha machine zote mbili kua kitu kimoja kama machine za PET/CT. Soma hapa abstract ya mtalaamu ujue advantages za SPECT/CT kwa dunia ya sasa.


 
Kunyaland Pamoja na kuona English ni sehemu ya Mila na asili yao lakini hakuna Mkunya aliewahi kufika hii rank ya huyu Mbongo kwenye kushika delicate and sensitive position kama hii kwenye serikali ya Taifa kubwa kama Uingereza, Kunyalanders wanaishiaga kuwa mahustlers gulf 🀣


View: https://youtu.be/vANAQ4mH9_8?si=ndGJxk1Lz3O_kjxG
 
Kunyaland kuna kipindi walikuja na slogan yao ya build ushagoo humu nikawa nawacheka tu, walikua wanaweka mpaka pictures za wizi kutoka nchi nyingine ikiwemo Tanzania wakifikiri ni milage kubwa wameipita Tanzania πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kumbe ni ulimbukeni wao na village mentality wakifikiri dunia is only revolving in Kunyaland kumbe kujenga vijijini ni utamaduni wa Tanzania toka enzi hizo, huwezi kupata village kama hivi Kunyaland 1500km from Dar


View: https://youtu.be/4QldsKPz_1s?si=Xdf93rD6HLbX_IZe
 
Tokyo - Kawasaki Saitama Yokohama Johannesburg - ekurhuleni, Midland , rustenburg,emfuleni
New York - Newark, jersey city, etc
 
Nairobi is a two sided city,
Kuna areas within the old boundary that stretch more than 50km na ni urban tupu, like uthiru to joska ruai areas
 
Wewe mzee tuoneshe GTC tu. Mambo mengine tutakutoa kamasi.
 
Nakukumbusha umeishia CT Scans 11 tuu,Tzn ziko 45 😁😁😁😁

Onyesha CT Scans za kaunti za Kunyaland 🀣🀣
 

Wait, Did you just add a cool 1 million without shame? πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://x.com/africafactszone/status/1751212698614858037?s=46
Shame on you πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…