President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,532
- 94,013
Halafu hii project ya:ni ukweli kabisaaaa....have we ever denied our slums like you guys deny the slumy nature of uswazi dar.The slum projects are ongoing.....
Tuanze na moja moja sasa.All our 47 county referral hospitals zikona CT Scan machines. Anyway here are a few hospitals with CT Scan machines.
Wabongo mumenunua CT Scans juzi sasa hatutapumua. ππππ Ebu ona Kenya hadi ziko kwa district hospitals, nursing homes na hospitali za mitaa. Niliona Mama yenu aliwanunulia MRI machines 4, leteni list ya MRI. CT Scan Kenya ni kitu ya kawaida.
View attachment 2889852View attachment 2889853
View attachment 2889855
Kipimo cha city hua kinaanzia center ambayo ndio CBD yenu chizi wewe π€£π€£π€£Huyu Jamaa ni chizi Sana ,unadhani Nairobi mwanzo wake ni CBD,,pima kuanzia Ngong to Kiambu uone ni km ngapi
Wacha kupoteza wakati, nimekuambia hakuna county hospital in all our 47 counties haina CT Scan. Lodwar County imekua na CT Scan since 2018. π π π π Nyinyi mumenunua kidogo juzi sasa hamtaki tupumue.Tuanze na moja moja sasa.
Tuoneshe CT Scan ya Lodwar County Referral Hospital (Turkana)
Tuanzie kwa kupitia link hii
Baada ya tangazo hilo tuoneshe CT Scan service sasa.Wacha kupoteza wakati, nimekuambia hakuna county hospital in all our 47 counties haina CT Scan. Lodwar County imekua na CT Scan since 2018. π π π π Nyinyi mumenunua kidogo juzi sasa hamtaki tupumue.
View: https://x.com/missnanalittle/status/1030366769943334912?s=20
Usisahau na hii hapaWacha kupoteza wakati, nimekuambia hakuna county hospital in all our 47 counties haina CT Scan. Lodwar County imekua na CT Scan since 2018. π π π π Nyinyi mumenunua kidogo juzi sasa hamtaki tupumue.
View: https://x.com/missnanalittle/status/1030366769943334912?s=20
Ju hio CT Scan machine ilinunuliwa ikate ikate mboga ama. Ukishindwa kubali, wacha pathetic excuses. π π πBaada ya tangazo hilo tuoneshe CT Scan service sasa.
Kwanza tuoneshe dar maeneo kama haya ya karen tutakuonesha matharePamoja na Karen tuoneshe Mathare pia. Maana hako ni kasehemu kadogo san.
Twende kaziJu hio CT Scan machine ilinunuliwa ikate ikate mboga ama. Ukishindwa kubali, wacha pathetic excuses. π π π
Hayo ya Karen mnayaonesha kila siku huu mwaka wa 7 sasa. Since 2017 mnaonesha picha hizo. Kwa sasa ni mda wa kutuonesha Mathare na maeneo mengine. Au unaona aibu?Kwanza tuoneshe dar maeneo kama haya ya karen tutakuonesha mathare
Hii video Ina shida gani mkuu??Dodoma capital city lol....a screaming Isiolo.Tz govt is trying to pump money in it lakini wapi
View: https://youtu.be/568ekKd0-Nk?si=pg_4-CgW7IvvwO0j
Tulia dawa iingie. ππππ Kila siku lazima mupokee viboko.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.View attachment 2889830
Ukipata hospitali mbili za serikali in Pwani region ambzao zina MRI nitafunga hii account. πππ
Acha kuchanganya madesa mzee. Hapa tunaongelea Kitale County Referral HospitalTulia dawa iingie. ππππ Kila siku lazima mupokee viboko.
View: https://www.youtube.com/watch?v=tXXOoDLSI58