Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ndio hii ushahidi. Wapi logo ya Dar Coach Sasa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

Hii ni before wavandike logo kwa hii Gemilang πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
View attachment 2887654
Ushahidi huu hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Na hio next to gemilang ni tanzanite bus by dar coach πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Screenshots_2024-01-29-23-55-01.png
Screenshots_2024-01-30-00-11-07.png
Screenshots_2024-01-30-00-11-07.png
 
Ndio hii ushahidi. Wapi logo ya Dar Coach Sasa?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

Hii ni before wabandike logo yao kwa hii Gemilang πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
View attachment 2887654
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Sipendi sana kukuumbua kwasababu utaichukia jamii forum but kwa hili sorry
Screenshots_2024-01-30-00-13-57.png
 
Ushahidi huu hapa πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Na hio next to gemilang ni tanzanite bus by dar coach πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
View attachment 2887655View attachment 2887656View attachment 2887657
Ebu nionyeshe hiyo logo hapa SasaπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ€£.

Yani Dar Coach ni kudandia tu vitu za watu wengineπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£

Where is the Dar Coach logo while this bus was still at Scania office?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
1706562420871_1.jpg
 
Hiyo ni Gemilang?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£.

Wewe unapoteza fahamu SasaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Kwamba AVA kashindwa kuweka logo yake ila dar coach kaweza 🀣🀣🀣🀣🀣

Na nisheria ya nani inawez kukubali upuuzi huoπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… never ever
Screenshots_2024-01-29-23-55-01.png

Screenshots_2024-01-30-00-11-07.png
Screenshots_2024-01-29-23-47-27.png
 
Dar Coach is bonoko sanaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

All the buses bearing Dar Coach logo zimepita LSHS πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
View attachment 2887665
Velerian banda ni nani?? Owner wa dar coach?🀣🀣🀣🀣🀣

Yani ww ukiokota chochote ni sawa ila mm nikileta kuhusiana na dar coach si sawa ww hangaika bure tu ila ukweli uko pale pale go east go west πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Huyo anasema ukweli. Najua unaumia lakini kusema ndio hutaki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£. Huyo ni mtanzania anayejielewa.
 
Huyo anasema ukweli. Najua unaumia lakini kusema ndio hutaki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£. Huyo ni mtanzania anayejielewa.
Usiku huu leo unakonda. Kenya mnaishi miaka ya 70s. Na ninyi ni washamba sana. Mnadhani sasa hivi ni kipindi cha magazeti na Radio? Kwa sasa dunia ni kama kijiji. Busi ikizinduliwa brazil watu wote duniani wanajua.

1706564495928.png

1706564522269.png

1706564592257.png
 
Back
Top Bottom