Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

as a country grows, the growth rate diminishes...mfano, uchumi wa USA hivi leo inapanuka kwa asilimia chini ya 2%...tukija kwa SA, Egypt Nigeria mambo ni hayo hayo
Ndiyo sababu USA uchumi wake unakaribia kupitwa na China kwa sababu uchumi wa China unakuwa kwa kasi zaidi ya USA, na hata hizo nchi zingine ulizozitaja, zipo katika matatizo makubwa ya uchumi kutokana na uchumi kutokua kwa kasi, kwahiyo usitolee mfano nchi zinazofanya vibaya ili kujipa matumaini, every country strives to increase rate of its economic growth, so is USA.
 
USA haifanyi vibaya my friend...ebu fanya 2% of 18 trillion dollars ujionee...
 
Washakuwa sugu kwa umaskini hao, Gap la walionacho na wasionacho ni kubwa.

Kenya wanaisha kwa njaa na umaskini nchi yao nusu jangwa
 
tulipewa...nanyi mliwasamehe albino?:D:D
Sisi huwa kukitokea challenge tunaishughulikia inakwisha, albino killings imebaki katika vitabu vya historia, lakusikitisha ni huko kwenu, tangu mlipopata uhuru, ukabila, rushwa, njaa, poverty, slums, extrajudicial killings, vinaendelea kuongezeka na hakuna dalili ya kupungua
 
by the way, ame confirm kweli? bado taarifa sijapata...hivi taarifa za Tanzania zasemaje?
Ni official kweli taarifa kutoka kwa msemaji wa ikulu kwamba j4 tar 28 atakuepo kwenye kumuapisha elect- president Hon Uhuru Kenyatta!!
 
uchumi wa China unakua kwa pole ukilinganisha na Tanzania...sasa hii ina maana Tanzania wako mbele ya China sio? tumia akili ndugu...high growth rate haimaanishi chochote...
 
Beliw poverty line kenya 2016 is 43.6% nini hujaelewa au mpka nikwambie 43.6 itapendeza:D:D
ni kwli haipndezi ila uchumi ndio huo bado mkubwa kuliko yenu...:D:D:Dmi nakwambia GDP ya Naiobi tu inawza kuwa imeishinda ya Tz nzima..ni data tu nimekosa
 
Back
Top Bottom