Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

tafta jipya ichoboy...hii mambo ya kurudia rudia arguments joo...i thought ulishaaibishwa kuhusu hio mambo ya debt to GDP...ama unataka round 2? but nah I aint in the mood today...
Jay I think our GDP is already past 100b considering that informal sector like Jua Kali,MITUMBA, informal trading etc
 
umetafta riziki lakini? naskia albino skuizi ni rare kupata..😀😀ama ndio maana mmeanza omba omba...a new career😀😀
Unafkiri kufika 6% ni kama kupika makande😀😀😀😀😀 kutoka hio 5 mpaka mufike 6 inaeza wachukua 7 yrs
 
Unafkiri kufika 6% ni kama kupika makande😀😀😀😀😀 kutoka hio 5 mpaka mufike 6 inaeza wachukua 7 yrs
Kenya iligrow na 8% I think it was 2012...😀😀😀 kwanza hizo nchi ziko nyuma ndio ziukuwa na high growth rates...waulize kina Ghana na Ivory Coast...thy are growing at 8% wacha hio 7% mnaimba imba hapa
 
punguza hasira ndugu...nimekwambia hata muwe na growth rat ya 10% bado mnakula vumbi😀😀😀Knya sio ligi ynu LDC..🙄🙄
Nimekuambia acha matusi, ninafahamu huko kwenu ni watu wa kupigana risasi kila siku, hamjui neno ustaarabu, hii JF inawafundisha sana jinsi ya kuwa wastaarabu.

Nimesema kitu r nacho ni kimoja tu, GDP, the rest Tanzania is ahead of you.
1)Biggest airpot
2)Modern electrical SGR
3)Low poverty level
4)Faster economy growth
5)No food shortage
6)Low inflation rate
7)United and peaceful country
8)Biggest port by 2022
9)Narrow gap between rich and poor

Vs

Kenya
1)Bigger GDP
2)Bigger GDP
3)Bigger GDP

pwahahahaha...punguza hasira ndugu...nimekwambia hata muwe na growth rate ya 10% bado mnakula vumbi😀😀😀Kenya sio ligi yenu LDC..🙄🙄 a growth of 5.5% but we balling nigga
 
Bongo
IMG_1108.JPG
 
Kenya iligrow na 8% I think it was 2012...😀😀😀 kwanza hizo nchi ziko nyuma ndio ziukuwa na high growth rates...waulize kina Ghana na Ivory Coast...thy are growing at 8% wacha hio 7% mnaimba imba hapa
So from 8 mpaka 5😀😀😀😀😀😀 so??????
 
pwahahahaha...punguza hasira ndugu...nimekwambia hata muwe na growth rate ya 10% bado mnakula vumbi😀😀😀Kenya sio ligi yenu LDC..🙄🙄 a growth of 5.5% but we balling nigga
Ni kweli kabisa, Kenya ipo kundi moja na Somalia na South Sudan, nchi zote hizi tatu mnaishi kwa kutegemea chakula cha msaada toka UN, mnashindwa hata kujilisha..but GDP without food.
 
Nimekuambia acha matusi, ninafahamu huko kwenu ni watu wa kupigana risasi kila siku, hamjui neno ustaarabu, hii JF inawafundisha sana jinsi ya kuwa wastaarabu.

Nimesema kitu r nacho ni kimoja tu, GDP, the rest Tanzania is ahead of you.
1)Biggest airpot
2)Modern electrical SGR
3)Low poverty level
4)Faster economy growth
5)No food shortage
6)Low inflation rate
7)United and peaceful country
8)Biggest port by 2022
9)Narrow gap between rich and poor

Vs

Kenya
1)Bigger GDP
2)Bigger GDP
3)Bigger GDP

hapo ni peace pekee na haijawasaidia
 
Back
Top Bottom