Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Thanks for confirming that Posta pekee ndio inaezalinganishwa na Kilimani. Now let's go 😂.

Kilimani
View attachment 2885560
Compare and Contrast

This is Dar es salaam 👇👇👇

1706431461489.png
 
First of all, I am not impressed by that video. Those are normal villages in Kenya but for you, it's the wealthiest in Tanzania. Secondly, mwenye video amesema mwenyewe ni outskirts, sasa wewe na mwenye video tuamini nani?
Najua nyinyi ni wale wa kutumia bundles so probably hata hujawatch video yako mwenyewe. Ebu tazama dakika ya 1:42.
Nimekuekea mpaka Google map, hiyo sio outskirt na Kunyaland yote hakuna wala hakutatokea kuwe na barabara kama hiyo 1500km from Nairobi then hatupo hapa kukuimpress nashangaa who's even care!

Kunyaland baada ya km500 from Nairobi wote mnaishi kama mashetani kwanza bandits ni kila angle
 
Kilimani with upperhill in the background.

This neighborhood alone is wealthier than Dar is Slum
1706431930049.png
 
Nimekuekea mpaka Google map, hiyo sio outskirt na Kunyaland yote hakuna wala hakutatokea kuwe na barabara kama hiyo 1500km from Nairobi then hatupo hapa kukuimpress nashangaa who's even care!

Kunyaland baada ya km500 from Nairobi wote mnaishi kama mashetani kwanza bandits ni kila angle
Hivi tufuate Google map yako ama tufuate video?

Halafu hizi ndio barabara zenyewe unatutisha nazo eti? 😂 😂
1.png

Mjini katikati na vumbi yake yote tunaambiwa 90km from the town. 😂😂
2.png
 
Back
Top Bottom