The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Last time I checked Morocco beat Brazil, is Morocco superior than Brazil?We are not superior than you yet last time we met tuliwanyorisha ipasavyo!
We are not superior than you yet FIFA rankings tupo juu yenu.
Kwani how is superiority in football measured?
Kwani ni kitu cha ajabu kwenye soccer? Hakijawahi kutokea? Zambia na Tanzania ipi ni superior as far as fifa rankings is concerned, mbona wameshindwa kutufunga.Wewe unajua football mbona mlishindwa kuwafunga wazambia kumi uwanjani
And let me tell you the bitter truth, you will not feature in any caf or fifa tournaments for the next ten years to come 🤣🤣🤣🤣🤣So many times. But not as many as Tanzania who have qualified only three times compared to kenya
Hela ya kula ni shida ndio itakuwa project ya 16bn dollars? Pia kwenye kila shilling 10 inayopatikana shilling 7 zinaenda kulipa madeni na room ya kukopa hamna tena maana shilling 3 zinazobaki ndio zitumike kwa recurrent expenditure, huduma za jamii kama elimu, afya, maji, umeme etc na pia hapohapo itoke hela ya development projects.
Hivi wa kwaLigi gani bora wakati products za hiyo ligi 'bora' can't even beat ten men in a football match?
Hivi Zambia unawachukuliaje?Ligi gani bora wakati products za hiyo ligi 'bora' can't even beat ten men in a football match?
Inakaribiana na Katoro GeitaRuaka, kiambu county
View attachment 2880705
Burundi aliwakalia mbwa hawa hahaaaHata wasingefungiwa wala wasingefuzu. 😂😂😂
Kama timu yao ni bora mbona hawakufuzu AFCON ya 2021,
Excuses wanazotoa saa hii eti walifungiwa.
Kwa hili group labda wangefuzu vuzi tu.
Non football country.
View attachment 2879697
FIFA rank ni muhimu tu upande wa Zambia but when we mention the same about Kenya ranking higher than Tanzania that's where you draw the lineHivi wa kwa
Hivi Zambia unawachukuliaje?
Ina wachezaji wengi wanaocheza ligi kubwa kuliko hata hiyo Kenya.
Ki rank Zambia ya 86 kwa viwango vya Fifa.
Nadhani unaelewa tulikua tunacheza na nani.
Why is there hunger in Kenya every year?FIFA rank ni muhimu tu upande wa Zambia but when we mention the same about Kenya ranking higher than Tanzania that's where you draw the line
What a bunch of blind patriots!!