Unadhani Kenyans in this thread are poor like you?Wote waliopo humu ni miongoni wanaomake hio 73%
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1749390084925780028?t=LxpJ9mGlyHDk2sqRV-sbXg&s=19
Watakuambia Dar is 1500 sq.km yet most of it ni ushagoo. πHapa ni Dar is a slum π π π Jirani hana miundobinu, jirani hana barabara za lami. πππ Jirani anateseka sana aiseeee.
Kumbuka huu ni mtaa wa kitajiri πYani hii rural area pia ni Dar π π π π
Are you trying to insinuate you (Tanzanians) want to see us do better than you?Hao jamaa ni wivu unawasumbua πππ they wanna see us do good but never better than them. Hao ni wachawi wetu, roho zinawauma wakiona tunawapita. ππππ
Mama ngina source ??π π π π92% of working Tanzanians are poor.
Simba budget umeiskia kwanza kwa mwaka huu ni 26b tshs sawa na 12m usd hebu leta budget ya gor mahia ikifika 1m usd mm naharisha hapa leo π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Gor Mahia bus can buy two buses for Simba and another two buses for Yanga.
View attachment 2879739View attachment 2879740View attachment 2879742
Fact gani unaongea taifa stars imekusanya pesa nyingi tu kuingia makundi nyinyi mumekusanya nn zaidi ya njaa na maji ya sewage kutoka kibera??π π π π π πHakuna Cha wivu hapa. I am simply saying facts. Taja kitu chochote nilichotaja ambacho si ukweli.
Ebu tuonyeshe bus yenye Simba walinunua na Pesa yaoππ
Master fabricator π π π π bus inaundwa utasema wanachambua karanga
Kama hii au sio π π π πKenya always inspires Tanzania. We are their role model, mentor, and big brother πππ.
If I talk I'll be in big problem.π
View attachment 2879861View attachment 2879867View attachment 2879868