Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Jengo kama Britam walishajenga Egyptians na Aztec people from 5000 years ago nyie ndio mnajenga 21st century kweli 🀣🀣🀣
And the fact remains, Britam is recognized worldwide. Inauma ila zoea tu bongolala
 
Kenya hua inapeleka wapi mikopo.Ni vile hujatembea Tanzania lakini Northern Tanzania,Southern Highland Estern Region kuna hatua kubwa imepigiwa miundo mbinu imeboreshwa sana.Kenya uchumi uko western Kenya tu
Western Kenya tu!!
Kila siku mnasema Kenya ni nairobi na Nairobi ni kenya. Iweje leo Nairobi ikawa western Kenya. So you don't know even know your geography bongolala????
 
Umeona? Matusi kama haya wala yasingelikuwepo lkn haya maku.ma taifa stars yamesababisha hawa wanuka mavi waongee, walikuwa wamebana pumbu zao lkn ndiyo hivyo tena stars sio ya kuitegemea, ingekuwa Yanga sawa lkn sio stars ya kibu denis.
Hawana timu yoyote inayoshiriki michezo ya kimataifa kuanzia CAFCL, CAFCC, AFL, AFCON na WAFCON mbona muangaike kubishana na popoma kutoka non football country!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…