2.5b ni ndogo sana au sio??π π π πSerikali ilisema zinahitajika 10bln ,na hiyo michango ni sehemu ya ku source pesa.
Caf wametoa 2.5bln tuu
Michango yote saizi itakuwa inawekwa kwenye account Yako ππTeam ya taifa inaitwaje???π π π π
Ndio nasema Kwa Sasa michango ya timu za Taifa tutakuwa tunaweka kwenye account Yako na wewe ndio utakuwa mtunza kibubu ππ2.5b ni ndogo sana au sio??π π π π
10b kwa ajili ya nn??π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Michango ni kwa ajili ya nn ndio swali langu simple and clear π π π π πMichango yote saizi itakuwa inawekwa kwenye account Yako ππ
Kenya hua inapeleka wapi mikopo.Ni vile hujatembea Tanzania lakini Northern Tanzania,Southern Highland Estern Region kuna hatua kubwa imepigiwa miundo mbinu imeboreshwa sana.Kenya uchumi uko western Kenya tuTanzania is the only country where the government borrows money to build skyscrapers.
Taifa stars inaomba mchango ?? Watu wanaiba pesa mpaka wengine watoto wao wanafanya birthday kwenye private jet hewani alaf tunaomba mchango ???Ndio nasema Kwa Sasa michango ya timu za Taifa tutakuwa tunaweka kwenye account Yako na wewe ndio utakuwa mtunza kibubu ππ
Kwani Nairobi siku hizi ni Western Kenya? Mombasa ni Western Kenya? Kiambu ni Western Kenya? Meru ni Western Kenya?Kenya hua inapeleka wapi mikopo.Ni vile hujatembea Tanzania lakini Northern Tanzania,Southern Highland Estern Region kuna hatua kubwa imepigiwa miundo mbinu imeboreshwa sana.Kenya uchumi uko western Kenya tu
Jirani anamalizwa na mafuriko. π π π
unaongea ukiwa Kibera kwa giza na mafuriko na njaa!
Hizi hasira zako ungepeleka AFCON saa hii Taifa Stars wangekuwa na 6 points and top of the table πππ€£π€£unaongea ukiwa Kibera kwa giza na mafuriko na njaa!
Point 6 ukimaanisha na kumfumga morocco aliefika nusu fainali kombe la dunia ???Hizi hasira zako ungepeleka AFCON saa hii Taifa Stars wangekuwa na 6 points and top of the table πππ€£π€£
wewe unatoka wapi nawe? Uchumi upi huo Western kenya? Au Nairobi na Mombasa zimekuwa western saahii?Kenya hua inapeleka wapi mikopo.Ni vile hujatembea Tanzania lakini Northern Tanzania,Southern Highland Estern Region kuna hatua kubwa imepigiwa miundo mbinu imeboreshwa sana.Kenya uchumi uko western Kenya tu
I don't discuss football matters with people who are bottom of the table.Point 6 ukimaanisha na kumfumga morocco aliefika nusu fainali kombe la dunia ???