The Other Delo
JF-Expert Member
- Sep 12, 2023
- 1,072
- 1,189
Kenya tunaongelea 250,000+ units mkuu. Wachana na hizi upuzi za 500 units
Miaka mitano mnajenga 2 blocks. The next 5 years pia another 2 blocks. I call that progress.
Hii ni awamu ya Mama Kila kitu kimefufuka.Miaka mitano mnajenga 2 blocks. The next 5 years pia another 2 blocks. I call that progress.
250k units unazijua wewe ng'ombe? Pamoja na hizo bedsitters zenu bado hamtofika hata robo ya 250k unitsKenya tunaongelea 250,000+ units mkuu. Wachana na hizi upuzi za 500 units
Hizi ni gorofa tano tu mzee.. private developers Wana nini hapo kenya.? Wanajenga vigorofa kimoja kimoja.? Unaijua mradi unaoitwa mradi wa nyumba 3500 DODOMA which is equivalent to Kisumu city by size.? ππππ
Masaki Apartments in progress πKenya tunaongelea 250,000+ units mkuu. Wachana na hizi upuzi za 500 units
We nae kwenye vita ya mabomu unakuja na kisu,heb tuliza matako wanaume tupambane, hii sio vita ya akina mamaMasaki Apartments in progress π
View: https://www.instagram.com/reel/CyLYkbEIbS2/?igsh=MTcydmltbWs4eTZ2YQ==
Kiambu hii mkuuHizi ni gorofa tano tu mzee.. private developers Wana nini hapo kenya.? Wanajenga vigorofa kimoja kimoja.? Unaijua mradi unaoitwa mradi wa nyumba 3500 DODOMA which is equivalent to Kisumu city by size.? ππππ
View: https://youtu.be/8VNng0O8SlE?si=NC0e95D08D4TOe0a. Je Iyumbu DODOMA 1000 houses. π
View: https://youtu.be/pUZAKrsiYKU?si=Afb11_rx9GqdwpCA.
Battle imekushinda.? Mkuu.? πππ Huu ni mradi mpya.?
Mama anaupiga mwingiWe nae kwenye vita ya mabomu unakuja na kisu,heb tuliza matako wanaume tupambane, hii sio vita ya akina mama
Mnashinda mkituambia vitu "Mnavyopanga kujenga". Na mkijenga mnajenga na miaka kumi πππππππππππMama anaupiga mwingi
Samia Housing Scheme Ndejengwa.
View: https://www.instagram.com/reel/C1Z8RWPNEjI/?igsh=MW94NHl6bWk4ZTB1Mg==
Somaliland imekua semi autonomous toka 1993.Na Somaliland ilipata uhuru kivyake na ilikataa kuungana na Somalia.Afuate utaratibu Kwenda Mogadishu akayajenge sio Kupitia mlango wa nyuma.
Somalia msikubali upumbavu
View: https://twitter.com/BBCAfrica/status/1747654265391251757?t=xVSO3TQEetaSpbqTmcGgFg&s=19
Hizo zinaexist Kenya ilhali nyinyi kwa sasa hamna. Endeleeni kujenga mfike hio level kwanza ndio tuanze mchuanoBattle imekushinda.? Mkuu.? πππ Huu ni mradi mpya.?
You people are very funny. 4 buildings of 4 floors ndio unapiga nayo kelele hapa?π€£π€£π€£
Wewe inakuanga mjinga sana. Differentiate between installed capacity and production capacity. I said your production capacity is 1300MW and installed capacity was 1700MW.Hii figure unataja najua ulipoipata na hii ilikua ni December 2022 while hii ni January 2024, awali ulidai Tz capacity yake ni 1300 ππππ wewe ni kichaa mjomba. Wivu wako hauwezi kubadlisha chochote ground mzee.
Hiyo project Iko kwenye foundation stage Kwa Dodoma ila Kwa Dar imesogea zaidi.Mnashinda mkituambia vitu "Mnavyopanga kujenga". Na mkijenga mnajenga na miaka kumi πππππππππππ