Huna taarifa, SGR inakaribia kigoma muda huuBadala ya kijipa pole wewe mwenyewe unawapa wakenya? Hiyo sgr ya Tanzania ina miaka zaidi ya 6 na bado haifanyi kazi...
Watanzania wengi ni mafala Sana
Hili Dude linasababisha tuachiwe lana na Nyang'au 🤔Nyangau hapati usingizi juu ya hili dude.
Design capacity yake ni 60 tons ila operating capacity ni 58tons54 tons kama sijakosea
Pia mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka sana mzigo upo wa kutosha tuu just one more freighter 767 300F itatutosha kwa sasa in the near term.Hapa inabidi mama aone hii opportunity aagize hata cargo jets mbili za intercontinental range maana biashara ya perishable goods inakua kinoma! Cargo kutoka Tanzania esp. Mwanza na Mbeya ipo on trajectory! Ule mpango wa cold storage Songwe airport vp umefikia wapi?
Zote ni Sgr ila Kenya wanatumia gari moshi, Tz ni electric train.Na hiyo ya kenya sio SGR
Tanzania bado tuko MGR hatujafika SGRZote ni Sgr ila Kenya wanatumia gari moshi, Tz ni electric train.
Exactly muda ndo huu kuteka soko la Halal products! Chinja asubuhi mchana kiko mezani!Design capacity yake ni 60 tons ila operating capacity ni 58tons
Pia mauzo ya nyama nje ya nchi yameongezeka sana mzigo upo wa kutosha tuu just one more freighter 767 300F itatutosha kwa sasa in the near term.
Nakumbuka huko nyuma ndege za kirusi Tupolev na Antonov zilikuwa zinachukua minofu mingi ya samaki mwanza vipi vile viwanda bado vipo na mzigo bado upo au?
Wew ni wa kupuuza..Rais yupi aliikuwa wa kwanza kujenga Interchange? 😁😁
Ngoja vile vi regional jets vyao viokoteze mzigo from Uganda, Cameroon sudan congo na kila mahali walete JKIA sisi tuupeleke Dubai, mumbai, Guanzhou, japan etc
Kwahio ile iliotestiwa mpaka 180kph ilikuwa inatembea kwenye MGR sio?Tanzania bado tuko MGR hatujafika SGR
Kenya wameanza SGR miaka 6 iliyopita..
Sisi hatujaweza kuconnect hizo train tuone uwezo wetu