Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Somalia wasikubali upumbavu wa kuingiliwa ,ndio upumbavu ambao Huwa naongea huo Sasa.
Somaliland ni nchi inajitegemea unaipangiaje sheria?? Wakat ina sheria zake na hao wasomali wapo wakitumika kwa maslahi ya nchi zingine 😅😅😅

Hvi ww ushawah sikia somaliland ina migogoro na nchi nyingine ????
 
Jitahidi kabla hujafungua kipumulio soma kwanza uone dunia iko wapi 😅😅😅😅

Screenshots_2024-01-17-22-26-49.png
 
Somaliland ni nchi inajitegemea unaipangiaje sheria?? Wakat ina sheria zake na hao wasomali wapo wakitumika kwa maslahi ya nchi zingine 😅😅😅

Hvi ww ushawah sikia somaliland ina migogoro na nchi nyingine ????
Ina ubalaozi Tzn au AU? Toa ujinga wako hapa.

Ukiunga mkono hiyo manake unataka na Zanzibar ijitenge,Kabinda,Tigray Ijitenge,Western Sahara inayogombana na Morocco wajitenge nk nk. Si ndio?
 
Zanzibar ina muungano itajitenga vp??

Somaliland haina muungano ni nchi huru inayojiendesha na tena ina uchumi imara haina hata mgao wa umeme 😅😅😅😅
 
Ina ubalaozi Tzn au AU? Toa ujinga wako hapa.

Ukiunga mkono hiyo manake unataka na Zanzibar ijitenge,Kabinda,Tigray Ijitenge,Western Sahara inayogombana na Morocco wajitenge nk nk. Si ndio?
Na utambue kwa sasa kinachofanyika dhidi ya somaliland nyuma yake ni mkenya mwenye maslahi na lapset unatakiwa uwe na akili kubwa kufikiri haya

Lakini somaliland ni nchi huru inajitegemea na imepiga hatua vibaya mno kiuchumi na kijamii 😅😅😅😅😅😅
 
We mbuzi,nasema hivi hiyo Somaliland Ina Ubalozi Nchi gani? Taiwan Ina Ubalozi Nchi zipi?

Toa upumbavu hapa
Ubalozi ndio inatambulisha nn haha ww kweli chizi katika maisha yako hata hio somaliland ulikua huijui ndio kwanza umeijua hvi karibuni 😅😅😅😅😅😅
 
Jitu linasema Oldonyo Lengai ni yao, yaani mpaka creator wa video tiktok anawasahihisha bado vichwa ngumu.

Alafu Badae linakuja hapa kusema We don't depends Tz on anything,

Will Smith kaandika kabisa Serengeti, mpaka unaona nembo ya TANAPA ila inakazana Masai Mara.
Huu mchezo wao wa kitoto tulishaachana nao mkuu, tushatoka huko na tunawapelekea moto 🔥🔥 kweli kweli.
 
Kwani mara ngapi hawataki huo Muungano mbawalazimosha?

Somaliland ni Jimbo la Somalia sio Nchi.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Leta evidence kua ni jimbo nikuoneshe paka mwenye upwiru
 
Wasiotaka ni kina nani ?? Mbona hawavunji sasa kama hawataki ww usilete siasa za pwagu na pwaguzi hapa 😅😅😅😅😅
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Leta evidence kua ni jimbo nikuoneshe paka mwenye upwiru
Ndio wamewanyoosha Sasa Ethiopia wakileta fyatu Hauthi watatimba Addis
 
Tumewakaribisha mkuje mupeleke maua India. 😂 😂 😂 😂

Image
Now ushakubali au sio, mbn una act kama mwanamke malaya? Wewe ungebaki na msimamo wako ule ule kwamba hamtotupa kibao cha kuleta cargo plane huko na sio kuwa kigeugeu.
 
Ubalozi ndio inatambulisha nn haha ww kweli chizi katika maisha yako hata hio somaliland ulikua huijui ndio kwanza umeijua hvi karibuni 😅😅😅😅😅😅
Inatambulisha kwamba hiyo ni Nchi huru vinginevyo ni territory tuu Mali ya Somalia
 
Na utambue kwa sasa kinachofanyika dhidi ya somaliland nyuma yake ni mkenya mwenye maslahi na lapset unatakiwa uwe na akili kubwa kufikiri haya

Lakini somaliland ni nchi huru inajitegemea na imepiga hatua vibaya mno kiuchumi na kijamii 😅😅😅😅😅😅
Wewe toa ujinga,Mkenya awe nyima ya Somaliland badala ya Somalia?

Somaliland,Puntland zote ni Mali ya Somalia,anaetaka Bandari aende Mogadishu sio Kupitia mlango wa nyuma.

Hakuna military base itaruhusiwa
 
Ndio maana nimekwambia mpaka uwe na akili kubwa ndio utaelewa dunia ilipo

Somaliland ni nchi huru, ina bendera ina sheria zake ina sarafu yake ni bunge lake ina serekali yake ina kila kitu na haina mgao wa umeme

Na juu ya hapo ina uchumi madhubuti sana
 
Back
Top Bottom