Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2024 Ni mwaka mwingine wa utalii:

Meli kubwa ya kifahari duniani, Norwegian Dawn, leo imetia nanga Bandari ya Dar ea Salaam ikiwa na abiria 2,200. Ni meli yenye urefu wa karibu viwanja vitatu vya mpira, kimo cha zaidi ya nusu uwanja, uwezo wa kuwa na watu ndani yake (wakiwemo wafanyakazi) jumla 2300 na ikiwa na vyumba vya kulala takribani 1,000 na maeneo mbalimbali ya kupumzika na burudani.

Na hii hatujamaliza. Mwezi Machi, 2024 meli nyingine za kifahari zinatua Bandari ya Kilwa.



 
Hii tweet uliyopost umeisoma.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Hiyo meli ndio mara ya kwanza kufika mombasa pia, haya heb niambie mmezoea meli kama hiyo kufika hapo kuanzia lini.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Imeandikwa the first cruise vessel of the year, hakuna mahali imeandikwa ni tukio la kihostoria kama vile mumeandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…