Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwahiyo huamini SGR ya 7000 km kutoka Shanghai mpaka Moscow?
Wanachosema ni kweli ila wanavyoelezea ni ki propaganda, mfano hiyo subway ya Turkiye, siyo ya kwanza kujengwa. Waturuki wameshakuwa na subways kadhaa kabla ya hiyo waliyoshirikiana na wachina kujenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…