Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,745
- 107,188
Je tuna structures za kuzuia nchi kuparaganyika atakapotokea Mgombea binafsi anayeungwa mikono na nchi au makampuni makubwa yenye nia ovu? Huyu Tibaijuka alipokuwa Waziri alipewa hela ya mboga kutoka escrow account na Nshomile mwenzie mkwapuaji Rugemalila akapokea maana hakuona tatizo! Kumbuka alitokea UNEP!Be open minded!!! Mgombea binafsi itaondoa ile power kama ya Mwendazake kuwa yeye kama Mwenyekiti wa Chama kwahiyo anasema tu kuwa namtaka Gwajima na huyo Mpwa wangu muacheni ata kama ni kura za wajumbe zimerdhia
Hatuwezi kuanza kujadiliana hapa mambo ya siasa. Hii ni battle. Anzisha uzi uni tag. Nitakuja kuelezeaDemokrasia ni gharama,kama tunahofia gharama kwanini tusibadilishe katiba tuwe na Chama Kimoja tu kama China au Russia??
Shida sisi ni wanafiki sana na hatuna msimamo wa kueleweka,yani mnataka Demokrasia na bado hapo tena mnahofia gharama
Kuna picha ya karibu huwa wanapiga chini ya hayo majengo manne inaficha hizo slums nyuma. Ukiwapata wakiichocha, eti 'kama Dubai mwananguu!!' 😂 😂 😂Soja, yes rust and dust everywhere. Kumbe unajua.
Kwa hiyo Tanzania debt to GDP ratio ni 40% huku Kunyaland ikiwa 70%IMF REPORT : Tanzania least indebted African nation - Daily News
DAR ES SALAAM: TANZANIA is the leading least indebted nation in Africa, the International Monetary Fund (IMF) has stated. According to the IMF’s latest report, though the region grapples with economic challenges, Tanzania emerges as a beacon of fiscal responsibility, boasting a debt-to-GDP ratio...dailynews.co.tz
Nipatieni contact yake nataka kununua hizo gari zote.
Imeenda kwa chooKwa hiyo Tanzania debt to GDP ratio ni 40% huku Kunyaland ikiwa 70%
Hivi Kenya hii mikopo yote mmepeleka wapi?