joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Roho inakuuma baada ya kugundua kwamba mliganganyika kwa kusikia SGR mkajua zote ni sawa, mkapigwa na mchina bei kali kumbe akawajengea old model ya SGR, next time msikurupuke tena, jaribuni kusubiri hadi Tanzania ifanye kwanza ili muweze kujifunzakakojo kalale..ksho uauke ukaitishe kao zako
reli mtakayoijenga ni ile ile tu standard gauge kama yetu..hamna tofauti...reli yenye upana wa 1435mmRoho inakuuma baada ya kugundua kwamba mliganganyika kwa kusikia SGR mkajua zote ni sawa, mkapigwa na mchina bei kali kumbe akawajengea old model ya SGR, next time msikurupuke tena, jaribuni kusubiri hadi Tanzania ifanye kwanza ili muweze kujifunza
Wewe utakuwa na matatizo ya akili, utawezaje kuuliza hilo swali wakati reli imeanza kujengwa, mkandarasi ameshatanguliziwa malipo ya mwanzo na nchi haijapata wala kuchukua mkopo popote, na mwenye nchi anakuambia hizi pesa za ujenzi nimezitoa mfukoni mwangu, wewe unamwambia nipe ushahidi kama hizi peza umezitoa mfukoni mwako, nonsense..pesa hizo mlizozitoa toka seikali ya Tz zipo wapi?leta data hapa basi nione....3B mnatoa wapi nchi LDC? hata kuokota ushuru mmeshindwa pesa mtatoa wapi?
matatizo ya akili ni ww tu hapoWewe utakuwa na matatizo ya akili, utawezaje kuuliza hilo swali wakati reli imeanza kujengwa, mkandarasi ameshatanguliziwa malipo ya mwanzo na nchi haijapata wala kuchukua mkopo popote, na mwenye nchi anakuambia hizi pesa za ujenzi nimezitoa mfukoni mwangu, wewe unamwambia nipe ushahidi kama hizi peza umezitoa mfukoni mwako, nonsense..
Huyo achana nae taa ya oil inawaka😀😀😀Wewe utakuwa na matatizo ya akili, utawezaje kuuliza hilo swali wakati reli imeanza kujengwa, mkandarasi ameshatanguliziwa malipo ya mwanzo na nchi haijapata wala kuchukua mkopo popote, na mwenye nchi anakuambia hizi pesa za ujenzi nimezitoa mfukoni mwangu, wewe unamwambia nipe ushahidi kama hizi peza umezitoa mfukoni mwako, nonsense..
vipi jomba?Huyo achana nae taa ya oil inawaka😀😀😀
Yetu itakuwa nareli mtakayoijenga ni ile ile tu standard gauge kama yetu..hamna tofauti...reli yenye upana wa 1435mmila nakuelewa tu...elimu shida...pole ama unataka kuniambia yenu inajengwa kwa dhahabu?
nlishatoka hukoYetu itakuwa na
1)Umeme
2)Not jointed hivyo haitakuwa na mtikisiko wala kelele zitokanazo na joints za reli
3)Full automatic control, hivyo haziwezi kugongana
4)High speed
5)High capacity
6)Bullet trains
Hivyo ndivyo vinavyoifanya yetu iwe modern and superior over Kenyan
Kweli huyu dish limecheza kidogoHuyo achana nae taa ya oil inawaka😀😀😀
Najua umeelewa na unajaribu kukimbia, sikuachi nitaendelea kukupa misumari ya moto ili iwe mwanzo na mwisho kuzungumza kuhusu vyuma vyenu chakavu na kuvilinganisha na ultra modern train.ya Bongo..washamba wakubwa ninyi..nlishatoka hukoka discuss na nyanyako mambo hayo ili ujiliwaze angalau
Hii mambo na tumelipa cash utaachaHatujakopa sasa 😀😀😀😀 tumetoa cash 3.16b usd for 712km na ujenzi uko moto
Piw hii utasema ni wakenya waliandikaNdio mkopo anatafuta tena soft loan lakini kaonesha ujasiri mkubwa wakutoa 3.16 billion usd cash kwa 712 km for phase one and two 😀😀😀
Tanzania itakutoa jasho kaka 😛😛😛
Ndio mkopo anatafuta tena soft loan lakini kaonesha ujasiri mkubwa wakutoa 3.16 billion usd cash kwa 712 km for phase one and two 😀😀😀
Tanzania itakutoa jasho kaka 😛😛😛
Jay456watt leo umewaweza hawa vijana wa tandale mpaka wamejichanganya kusema loan hawajaomba, alafu china ipo tayari... Wakati tunajua vile walinyenyekea Zuma wakiomba hela.nlishatoka hukoka discuss na nyanyako mambo hayo ili ujiliwaze angalau
Hapo ndipo Kenya mnakuwa na matatizo na rest of the world, tatizo lenu ninyi you never think outside the box, mnadhani kitu kikifanyika Kenya basi ni hivyo hivyo tu, mtu akijaribu kufanya tofauti hamuelewi.This follows the signing of a Sh200 billion ($1.92 billion) deal with the Tanzanian government to undertake the project that includes the replacement of the existing century-old narrow gauge line with a new standard-gauge railway line.
According to the firm’s vice chairman Erdem Arioglu, the deal to build the second phase of the 1,224-km standard gauge railway that will eventually connect Dar es Salaam to Mwanza, is “one of the biggest agreements signed by a single Turkish contractor abroad”.
So hakuna cha "tulitoa pesa cash tena"
But Tanzanians have a funny way of doing things, frankly let me ask, how does one launch a phase II of a project when the 1st phase has not begun yet... Is it sensible?
Kenya's phase 2 was so quiet while it's almost 50% finished by now. Your's was really hyped