ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,310
- 89,717
Ni siasa za maonyesho tu mbona hatuonani wakichukuliwa hatua zaidi ya kukaripiwa majukwaani?
is this even in top 5 in Kenya really..lolMchongo ndio hivyo tena, East Africa commercial and logistics center render 👇View attachment 2865656progress 👇View attachment 2865658View attachment 2865660View attachment 2865662. We mbwa Nicxie Kimbg njoeni huku mjifunze the biggest shopping mall in East Africa vile inakaa
Nategenea ndugu Kivevele akemee hii tit for tat maana alikuwa bingwa wa Kutetea kipindi cha JPM ati alikuwa anadai hayupo sawa kufanya tit for tat. 😂😂😂Ila hili libashe hili hiiiiiiiii ni hatariiiiiiiii, ogopaaaaaa, weweeeeeeee 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2865981View attachment 2865983View attachment 2865984
Bashe amefanyaje? Hii si ndio michezo mlikuwa mna entertain awamu yenu? Leo inakuaje ni mbaya?Ila hili libashe hili hiiiiiiiii ni hatariiiiiiiii, ogopaaaaaa, weweeeeeeee 🤣🤣🤣🤣
View attachment 2865981View attachment 2865983View attachment 2865984
Saivi hata mama akifanya tit for tat analalamika kachelewa kuifanya 😂😂😂 yaani mtu akikuchukia tu kisa unavyeti fake na poor performance basi inakua ndio nongwa nchi ngumu sana hii dadeqNategenea ndugu Kivevele akemee hii tit for tat maana alikuwa bingwa wa Kutetea kipindi cha JPM ati alikuwa anadai hayupo sawa kufanya tit for tat. 😂😂😂
Ukitaka kujua ni chuki na nchi yake, yeye alikuwa anaponda kila kitu cha Tanzania hadi kwenye huu uzi alikuwa upande wa jirani.Saivi hata mama akifanya tit for tat analalamika kachelewa kuifanya 😂😂😂 yaani mtu akikuchukia tu kisa unavyeti fake na poor performance basi inakua ndio nongwa nchi ngumu sana hii dadeq
On top of that hiyo ilikuja baada ya serikali Kuzuia mbegu kutoka Malawi.Bashe amefanyaje? Hii si ndio michezo mlikuwa mna entertain awamu yenu? Leo inakuaje ni mbaya?
Kama alivyosema Bashe michezo hii ipo sana Kwa Kenya,Zambia na Malawi Huwa wanafanya mara Kwa mara.
Mwisho Serikali itatafute soko Nje ya Nchi hasa Ethiopia na S.Sudan/Sudan tuache kutegemea majirani pekee.Hao Malawi watu wao Wana suffer ila wao wamekaza.
umeona enhee Wazii mkuu anabweka tuu bila maarifa...!!! Huku watu wanamshangilia!Ni siasa za maonyesho tu mbona hatuonani wakichukuliwa hatua zaidi ya kukaripiwa majukwaani?
Ndio maana nimeikataa hiyo tabia ,huyo PM ana hiyo tabia ya drama harafu anawaacha hivyo hivyo Sasa sijui Huwa anafikiriaga nini hasa.umeona enhee Wazii mkuu anabweka tuu bila maarifa...!!!
Walipinga mpaka JNHPP kisa reservoir yake eti litafanya miti mingi ikatwe na hatimae pawe jangwa mazingira yaharibike, hivi em tumuulizeni leo yeye Pamoja na kipara na nape, hapa ni jangwa? 🤣🤣🤣Ukitaka kujua ni chuki na nchi yake, yeye alikuwa anaponda kila kitu cha Tanzania hadi kwenye huu uzi alikuwa upande wa jirani.
Yaani mtu akufanye uchukie nchi yako, utakuwa na ufinyu wa akili.
Hii miradi yote mikubwa alikuwa anaziponda zote ati hazina faida kiuchumi lakini sasa hivi ni bingwa wa kuzisifia zote. 😂😂😂
Kivevele ndo nani?Nategenea ndugu Kivevele akemee hii tit for tat maana alikuwa bingwa wa Kutetea kipindi cha JPM ati alikuwa anadai hayupo sawa kufanya tit for tat. 😂😂😂
Kunyan watueleze tobaco waliokua wanaexport walikua wanalima wapi,bashe kamatia hapo hapo hadi kwenye mazao mengine
Ukisikia paah sehemu ujue ndo yeye, sikilizia tu utamjua.Kivevele ndo nani?
Anaitwa Deogratius Kivevele kama sikosei 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nategenea ndugu Kivevele akemee hii tit for tat maana alikuwa bingwa wa Kutetea kipindi cha JPM ati alikuwa anadai hayupo sawa kufanya tit for tat. 😂😂😂
Kunduzero uwa wanakwepa sana kuongelea huu mradi
Eti mtu kasababisha hasara ya mabillion anaishia kufokewa tuumeona enhee Wazii mkuu anabweka tuu bila maarifa...!!! Huku watu wanamshangilia!