Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wacha ujinga wa kasumba! Hizo bidhaa unazotaja zinashadadiwa na nani? Kama Bidco group iko hatiani? Na kama supermarket zao zote Tanzania zilifilisika?
Braza wewe kwa 'calliber' yako sidhani hata kama ushawahi enda supermarket achilia mbali malls, let me tell you kwetu wengine humu ni sehemu ya ku express hobbies zetu juu ya mijadala lakini kwenu nyie na timu yako ni watu labda mpo kazini so mara nyingi huwa hamna fact, mpo so serious na matusi na kutumia maguvu. Mimi nili share habari ambayo imeandikwa na gazeti la mwananchi tarehe 4 January 2024 sasa kama huwa hamsomi then base ya arguments zenu huwa ni wapi...?? Sisi wengine Mungu katujalia kuzunguka zunguka Tz hii ndiyo maana nilimpa fact ya biashara bahati mbaya mpo so emotional guys hii ni mitandao ya kijamii hunijui wala sikujui na mimi ni kiibodi woria misiles zangu zipo kwa kiibodi
 

Attachments

  • Screenshot_2024-01-04-11-18-06-712.jpeg
    275.2 KB · Views: 20
Wewe kima ka uelewa wako mdogo unadhani ni nani hajazunguka Tz humu.? 🀣🀣🀣 Binafsi sio kuzunguka tu, nimefanya kàzi za marketing kwenye mikoa isiyopungua ishirini hapa Tz, ni Mzaliwa wa Tanga mjini, nimewahi kuishi Arusha 3 years, nimesoma Mwanza 3 years, kwasasa naishi Dar es salaam na huu ni mwaka wangu wa 4 consecutive. Nimezunguka mikoa yote ya kanda ya ziwa, kaskazini, nyanda za juu kusini+ central zone.. huko kwengine kote ambako sijaishi nilipelekwa na kàzi za marketing, sasa sijui we kima utanieleza nini mimi.?
 
Google inawavua chupi leo 🀣🀣🀣
 
Wameandika wapi ni tanzania bus owners
Prove these buses were ordered by Tanzanians. Usiogope kusema Kenyans bus owners are going the chinese way.
Na akikuonesha tu nitag πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…