Do you know all the components of LAPSSET project? Ama umekuja tu kutoa povu kama kawaida yenu mkizidiwa kwenye hoja?Aawapii ile port pale haikuzidi $200 mln!
View: https://twitter.com/mohammedhersi/status/1741876688416354714
Wacha kutetea mradi uliofeli already, onyesha hata gari moja ikibeba mchanga kuendelea na ujenzi walau wa barabara ya mita 4 kuelekea kwenye hiyo tembo mweupe.Do you know all the components of LAPSSET project? Ama umekuja tu kutoa povu kama kawaida yenu mkizidiwa kwenye hoja?
Ati black uglyThey are black ugly. Sisi huku tuna black beauty
Eti tunatawaliwa na hisia. Kwani nimesema uongo kuhusu serikali kuweza jenga Expressway 10?, shida yenu kazi kufocus na vitu vya hasara kiuchumi.Si mjenge hizo expressway kumi tuone basi? Nani kawazuia? Michango zenu humu zimetawaliwa na hisia sana nyinyi mibongolalala
Of course hakuna aliyesema bongo Kuna expressway ila nakumbuka kuna kilaza fulani alisema ipo muda si mrefu iliyopitahakuna aliyesema bongo kuna expressway, hakuna ila tarajia kuona bongo ikiwa na longest expressway kwa eastafrica
Usijal, kuna ya kuna ya uref wa zaid ya 150km, kuanzia kibaha hadi morogoro. Note: ni expressway
Unaongea kuhusu SGR kitu inafadhaliwa na mturuki? Unaongea kana kwamba Hela mnayo wakati kila kitu ni mikopoEti tunatawaliwa na hisia. Kwani nimesema uongo kuhusu serikali kuweza jenga Expressway 10?, shida yenu kazi kufocus na vitu vya hasara kiuchumi.
JHNPP pesa yake hapo unafyatua Expressway ngapi? Ila tuliamua JHNPP kutibu Tatizo la umeme.
SGR pesa yake unafyatua Expressway ngapi?
Sikia kuna miradi mingi inafanyika ambayo ni more viable na strategic ambayo tulielekeza pesa, mbeleni inaweza zalisha pesa za kujengea hiyo Expressway, ambapo huko kwenu hako Ka expressway, SGR, GTC haviwezi zalisha pesa za kuweza complete hata mradi mmoja tunaojenga Bongo.
And by the way Mchina anajenga EACLC pale ubungo, ila check sasa ownership imekaaje.
Wakenya mpo na kawaida ya kupenda sifa badala ya kuangalia kwa upana no wonder mko na hasara daily.
Yani ukichukua Magunas Supermarket upeleke Tz it will automatically become the biggest supermarket in Tz.While Naivas has 102 branches 🤣🤣🤣
Hawa tunawaentertain tu. Hapa hakuna battle
Mzee kwa Cables nashauri serikali iweke zuio kuagiza cables kuna kampuni nyingi asee.Tuna kampuni nyingi za cables hapa Tanzania kama Daesung cables Dar es salaam, TANELC Arusha na na hii inayotajwa hapa.
Wapi mturuki?Unaongea kuhusu SGR kitu inafadhaliwa na mturuki? Unaongea kana kwamba Hela mnayo wakati kila kitu ni mikopo
Endelea kujipa moyo hujakatazwaUnaongea kuhusu SGR kitu inafadhaliwa na mturuki? Unaongea kana kwamba Hela mnayo wakati kila kitu ni mikopo
That's a kibanda.Wewe mbwa, sasa supermarket ikiwa haina hata branch moja, hiyo inabadili maana kwamba sio supermarket au.? 🤣🤣🤣 Hii ndio kwanza naiskia kutoka kwenu.
Ha ha ha , vijimiradi vya kuokoteza ndio unajisifia? Kwisha kazi yenyu😎😎...And this just in the energy sector alone!
Just because we don't post them doesn't mean they don't exist
Ivi hawa nyang'au wanatuchukuliaje?What happened to the song 'kenya inauza avocado zetu'?
They started selling their ten pieces of avocados by themselves thinking it will prove a point lakini Mungu ni nani?🤣🤣
300km road is 70% complete. This is Lapsset.Wacha kutetea mradi uliofeli already, onyesha hata gari moja ikibeba mchanga kuendelea na ujenzi walau wa barabara ya mita 4 kuelekea kwenye hiyo tembo mweupe.
Usife tu kwa wivu mzeeThat's a kibanda.
Wanapenda vitu vya kufurahisha macho ili waonekane wameendelea lakini huku kwenye base ndio uozo mtupu. Wainarishe kwanza misingi hivyo vyote wanavyovipenda vitakuja tuu automatically.Eti tunatawaliwa na hisia. Kwani nimesema uongo kuhusu serikali kuweza jenga Expressway 10?, shida yenu kazi kufocus na vitu vya hasara kiuchumi.
JHNPP pesa yake hapo unafyatua Expressway ngapi? Ila tuliamua JHNPP kutibu Tatizo la umeme.
SGR pesa yake unafyatua Expressway ngapi?
Sikia kuna miradi mingi inafanyika ambayo ni more viable na strategic ambayo tulielekeza pesa, mbeleni inaweza zalisha pesa za kujengea hiyo Expressway, ambapo huko kwenu hako Ka expressway, SGR, GTC haviwezi zalisha pesa za kuweza complete hata mradi mmoja tunaojenga Bongo.
And by the way Mchina anajenga EACLC pale ubungo, ila check sasa ownership imekaaje.
Wakenya mpo na kawaida ya kupenda sifa badala ya kuangalia kwa upana no wonder mko na hasara daily.
Sababu wako serious na natural resources japo ni chache hawataki utani, unadhani hata sisi tungekua tunaexport natural resources huku Government iko na share kubwa, pesa zingekuaje? Kuanzia madini, gesi, umeme, mazao ya kilimo, utalii, nk.Hivi Egypt hela wanapataga wapi aisee
Je, ni kweli wanawake wa Kenya ni ugly?Ati black ugly
Wanaume wazima wanaongea upuzi za sura,
Sasa Mimi na wewe who is more brown!!!
Toa takataka zenu hapa.
Mradi uliofeli?? Hivyo ndio unajiconsole?Wacha kutetea mradi uliofeli already, onyesha hata gari moja ikibeba mchanga kuendelea na ujenzi walau wa barabara ya mita 4 kuelekea kwenye hiyo tembo mweupe.