Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

If it was statistically insignificant it wouldn't have been comipled. They could have overlooked it. Nahua inauma and you are looking for any possible way to disregard that figure but pole. Tupo mbele yenu and this noise you are making here won't change anything
 
Usineletee kisirani, umeconvert hizo dollar? Weka hapa kwenye hii rank au ukalale, actually mnaimport more from Tanzania than from the UK, eat that

View attachment 2862871
Do you really understand this data umekazana nayo? Kenya exported ksh 45B to Tanzania but imported less than Ksh 16B from Tanzania since you aren't even in the ranking.
 
I can see the tune is changing. Welcome to reality bongolala
Wewe mpumbavu hauwezi kuweka vimradi vya pesa za kununua chakula humu Halaf ukatamba while sisi tunaweka miradi ya $10.4 billion. Ni yale Yale mtaleta ya kulinganisha five 🌟 hotels in Zanzibar vs restaurants in kilifi. Hatuwezi kuwa na battle za namna hiyo mzee
 
expressway bongo hatuna ila tarajia kuona expressway ya 215 km, nilikwambia u-note:expressway af we unaniletea kujua kwing kwa kikunya. NOTE:TUNAJENGA BARABARA YA MWENDO HARAKA YA KULIPIA YENYE UREFU WA 215km kuanzia kibaha hadi morogoro then moro had dodoma . Lot 1- ipo kwenye maandalizi. Afu hata haturingi. Sasa endeleeni kujua sana.
 
I can see nowadays Kenya is a big producer of kerosene Jet A1. It sells mpaka Saudi Arabia 🤣🤣🤣🤣
 
Construction inaanza April 2024 kama sijakosea.
 
na ile ring road Dodoma ni nn?
 
Acha ujinga hii ni government company kenyans might have bought some minority shares in the 90s or miaka ya 2000
Transcentury which is a Kenyan company owns 70% of TANLEC and GOT only owns 30%. By the rules of shareholding, the company belongs to Transcentury.
 
Embu tuwekee mradi mmoja tuu wa 500m USD maana sitaki kuwatesa na miradi ya over 1bn 😁
 
Thank you Tanzanian bus owners for trusting Mombasa Port. Mitumba za China are being offloaded at Mombasa Port then will cross border up to Tz, the biggest market of fake Chinese buses.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…