Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Yeah kweli kabisa, bado sana kwenye data compilation lakini cha kushangaza kwenye boarder entries wapo very careful kuattend kinachoingia na kutoka, hata kwenye entries zetu za ndani, hivi unajua Tanzania ina zaidi ya 70 weight bridges tena nyingine za kisasa sana wakati Kunyaland hata 5 hawana, na systems kwenye hizi weighing bridges ni sophisticated kiasi hata wakitaka kuchukua hizo data za mizigo ni dakika 0 tu, kuna upigaji mkubwa utashtukiwa endapo watafanya hivyo wala sio bure!
 
inabidi tukatae kuuza coal sasa tuuze cement ili kukata ngebe!
It's possible tukishakua na cheap production costs propelled by cheap energy lazima watanunua Tanzania watake wasitake,

Ni wazi Kunyaland haina biashara yoyote ya maana Tanzania, kama Pakistan, Netherlands na UK wananunua zaidi kutoka Kenya kuliko Tanzania an easy next door neighbor tulio na regional harmonized trade conducts na easy access kama tu Uganda lakini hawana cha maana cha kutuuzia ni wazi hata hizi billion 44 sio za kweli ni fakery

Kunyaland kwa namna wanavyojitapa ni most industrialized hawana hiyo status kwenye realistic trade volumes na Tanzania, hata Uganda numbers zipo hivyo sababu ya bandari tu

 
Bongoslum haiko hata kwa top 10 countries we import products from but inafurahisha sana kuona muko kwa top 5 countries that we export products to. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Ruto ndio dawa yenu nyi burukenge.

 
Bongoslum haiko hata kwa top 10 countries we import products from but inafurahisha sana kuona muko kwa top 5 countries that we export products to. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Ruto ndio dawa yenu nyi burukenge.

Bashe kishaanza kuwabana,kaeni kwa kutulia takwimu zitakuja tu maana mlikua mnachukua vitu kiushkaji kama unatoa kitu nyeri kupeleka kibera
 
Bongoslum haiko hata kwa top 10 countries we import products from but inafurahisha sana kuona muko kwa top 5 countries that we export products to. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Ruto ndio dawa yenu nyi burukenge.

Ruto na Gachagua wanajua kuwafyonza nyie nyang'au wote na huyo baba yenyu wa nyanza😎
 
Bongoslum haiko hata kwa top 10 countries we import products from but inafurahisha sana kuona muko kwa top 5 countries that we export products to. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Ruto ndio dawa yenu nyi burukenge.

Sikujua export yenu ni $5 billion wakati Tanzania ni $6 billion na hapo bado hatujaanza kuexport natural gas yetu wala strategic metals ambazo both zipo under the massive processing procedures

Ninyi nyumbu mna trade eclipse ya $4 billion πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚


View: https://twitter.com/Samiadiehardfan/status/1737839913268351162?t=MsgrzwI2BjZK2EYTE9vljQ&s=19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…