babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,377
- 35,908
Mkandarasi anaitwa Beijing Construction Engineering Group ni yule yule aliyejenga BM national stadium.Xmass nilikuwa Dodoma, nmeona lile eneo la uwanja mkubwa wa kisasa wa michezo wenye capacity ya 30k spectators tayari mkandarasi kashazungushia uzio wa mabati. Mtu mwenye details alete tafadhali. Such a good news.
Uzuri ni kwamba huu uzi umeshajipambanua kwamba ni uzi wa ma great thinker (GT). Mara nyingi tumekuwa tukisema hakuna education in Kenya na tukatoa na reasons kibao, kila tunachoongea humu kuhusu Kenya lazima kilete jibu positive.
Kuna vijana huko fb wamekiwasha hatari πππ
Yaani huwa nakaa sehemu jioni nakunywa bia yangu ya baridi Huku Niko Furahia vijana wa fb wakipeleka moto kwa wakunya
Napoli ni Italy mkuu.Yani maradhi ya kudanganya ni kama laana iko kwenye damu yao π π π π
View attachment 2861707
Uwanja uko argentina sijui huko wanadanganya watu ni wao πππππ
View attachment 2861710
Dege la ma delays. Ethiopian Airlines utaiweka wapi? Air link? Egypt Air? Endeleeni kujipa moyo, leo pekee dege limekula delays ndege zote, kuanzia 483 mpaka 487 halijaruka mpaka sahizi.
Ndio Kwanza limeruka sahizi πππ€£π€£π€£Dege la ma delays. Ethiopian Airlines utaiweka wapi? Air link? Egypt Air? Endeleeni kujipa moyo, leo pekee dege limekula delays ndege zote, kuanzia 483 mpaka 487 halijaruka mpaka sahizi.
Hii imenikumbusha mbali kidogoππHuyu dogo ni muingereza anaishi TZ now,anaongea kiswahili kama anavyoongea bongozozo,kunyan uwa wanajipekeza sana kwake ile "come to kunyanduana" anawachana,leo kawachana vibaya ya kuwa hawajui kiingereza wala kiswahili kunyanduana wamepanic vibaya π
Wakenya wengi sana wanatibiwa TZ ila kimya kimya!Hii imenikumbusha mbali kidogoππ
Kuna ndugu zangu walitoka Kenya Kuja bongo kufuata matibabu,sasa walipoanza kuongea ngeli niliwaona wapo vizuri sana
Lakini,walipoanza kuandika kwa kimombo hicho hicho nilikuwa nacheka sanaπ€£π€£ yani wanaandika kama watoto wa nursery na mpaka hivi sasa uwa nakutana nao wengi wanajichanganya kila siku
Ni wengi sana na ukitaka kuamini nenda pale Bugando Kuna gari nyingi sana zenye plate number za kikenya zimejaa pale parkingWakenya wengi sana wanatibiwa TZ ila kimya kimya!
Asante kwa kutuungisha, pia ni shabiki wa simba, manaake tumepiga 2 in 1 π€£π€£π€£π€£π€£π€£Asante sana mbunge wa nyali jicho pevu kwa kutuletea pesa za kigeni ww na familia yako na kuongeza idadi ya watalii π π π π
View attachment 2861767
View attachment 2861770View attachment 2861773View attachment 2861775
GDP halisi ya Tz ni $150b na SGR plus JNHPP zikianza kazi tutakuwa kwenye $250b.And guess what ni vile tu, serikali yetu ni upuuzi mtupu, lakini kama wangalikua Wana record number zetu kwenye kila sector ipasavyo basi tungekua tunaongea habari zingine hapa.. infact sisi uchumi wetu una base imara, hatutegemei foreigners ka nyinyi. BlietzKrieg
Shida zenu sisi hazituhusu, kwanza tunafurahi mkiwa na shida ili mfe mpungue, mtatupa shida kuwalisha wazembe nyinyi.If
If so, iyo gap ya 2023 imetoka wapi despite mashida yote Kenya Iko nayo sahii!
Mtasoma number milele unless 2027 tukirudi elections.
Na kweli shida munazo π π π πIf
If so, iyo gap ya 2023 imetoka wapi despite mashida yote Kenya Iko nayo sahii!
Mtasoma number milele unless 2027 tukirudi elections.