Common sense.Huku sio kupindua meza hawana dollar zakutosha kuagiza mzigo from Tz
We pimbi biashara yenu imeendelea kushuka siku hadi siku, na sio kushuka tu, ni kwamba kwasasa sisi tunafanya better than you while number zenu zimeendelea kuwa stagnant.. sisi tulifanya uchaguzi 2020 tu hapo na tuliendelea kupanda kiuchumi na hatujawahi ku record low numbers since then. Kubali ukweli and move on.Common sense.
Kenya misimu yote ya uchaguzi biashara zote huteremka.
Amka !!!
And guess what ni vile tu, serikali yetu ni upuuzi mtupu, lakini kama wangalikua Wana record number zetu kwenye kila sector ipasavyo basi tungekua tunaongea habari zingine hapa.. infact sisi uchumi wetu una base imara, hatutegemei foreigners ka nyinyi. BlietzKriegWe pimbi biashara yenu imeendelea kushuka siku hadi siku, na sio kushuka tu, ni kwamba kwasasa sisi tunafanya better than you while number zenu zimeendelea kuwa stagnant.. sisi tulifanya uchaguzi 2020 tu hapo na tuliendelea kupanda kiuchumi na hatujawahi ku record low numbers since then. Kubali ukweli and move on.
Base imara with GDP per Capita sawa na ETHIOPIA!!! 1200!!!And guess what ni vile tu, serikali yetu ni upuuzi mtupu, lakini kama wangalikua Wana record number zetu kwenye kila sector ipasavyo basi tungekua tunaongea habari zingine hapa.. infact sisi uchumi wetu una base imara, hatutegemei foreigners ka nyinyi. BlietzKrieg
If so, iyo gap ya 2023 imetoka wapi despite mashida yote Kenya Iko nayo sahii!We pimbi biashara yenu imeendelea kushuka siku hadi siku, na sio kushuka tu, ni kwamba kwasasa sisi tunafanya better than you while number zenu zimeendelea kuwa stagnant.. sisi tulifanya uchaguzi 2020 tu hapo na tuliendelea kupanda kiuchumi na hatujawahi ku record low numbers since then. Kubali ukweli and move on.
Kwani mpo kwa kipindi Cha uchaguzi now?Common sense.
Kenya misimu yote ya uchaguzi biashara zote huteremka.
Amka !!!
Duh halafu utawasikia akina Teargas wanatamba na eti "Buy Kenya Build Kenya"πππWazungu weusi stadium π π π π π
View attachment 2861843
Your mama must be very rich . Mwandiko wa kichawachawa huu. Low iqs.Mama hana hiyaja na Kigoma
-Anajenga Muhimbili Branch,TIA na Kupanua Chuo Cha Hali ya Hewa.
Acha umburula wewe, mzani wa biashara ilishalalia upande mmoja kitambo, you import to Kunya from Tz than you guys export to us, and the gap keeps magnifying day by day .Common sense.
Kenya misimu yote ya uchaguzi biashara zote huteremka.
Amka !!!
Hahahah dah hawa vijana wa TZWazungu weusi stadium π π π π π
View attachment 2861843
Chawa asielipwa πYour mama must be very rich . Mwandiko wa kichawachawa huu. Low iqs.
Niliwah kupost hapa mwezi wa tisaXmass nilikuwa Dodoma, nmeona lile eneo la uwanja mkubwa wa kisasa wa michezo wenye capacity ya 30k spectators tayari mkandarasi kashazungushia uzio wa mabati. Mtu mwenye details alete tafadhali. Such a good news.
Eneo utakapojengwa uwanja wa Dodoma, nanenane..
View attachment 2766192
Infrastructure Checklist: Dodoma
- Uwanja wa mpira U/C
- Uwanja wa ndege (international) U/C
- Bus terminal β
Infrastructure Checklist: Arusha
Infrastructure Checklist: Dar es Salaam
- Uwanja wa mpira U/C
- Uwanja wa ndege U/C, KIA upo karibu pia
- Bus termnal (hapa soon itasikia watajenga, lbd mim sina taarifa)
- Uwanja wa mpira β
- Uwanja wa ndege (international)β
- Bus terminal β